Nani kakudanganya kuwa Magufuli hapendwi kanda ya ziwa? Mnahaha mcheza kwao hutuzwa ndo maana Lowasa kaskazini naye atapata kura nyingi. Magufuli atapata 80% kanda ya ziwa na hilo halina ubishi. #Hapakazi tu majungu na Ufisadi peleka Ukawa.
Unaijua Mza ama ni mzamiaji? Kwenu Mwanza nayo sifa! It is a Strong hold for Magufli. Don't lie any body. Lowasa has nothing to do with the people of Mza.
Kaka urais wa kwenye mtandao mshapata. Ndo maana hata hotuba yenu mlisema itawekwa kwenye mtandao. Kanda ya ziwa, kati, kusini, mashariki na nyanda za juu 80% ni Magufuli. Ukawa ni kanda yenu ya kaskazini tuuu. Hatuchagui mwizi na kapi lililojichokea likaangukia chagadema chama cha mtei na...
Mabadiliko na Lowasa? Umechanganyikiwa bana. Kwenda huko hakuna mapya na fisadi mkuu wa nchi hii. Kamwe Ikulu si ya majizi na wafanyabiashara. Viva Magufuli ingia Ikulu ukomeshe mafisadi wanahaha!
Kaka uko sahihi, hizi juhudi za hawa vijana waliomwagwa humu jf kupiga debe la fisadi Lowasa ni dua la kuku kwa mwewe. Ushindi wa Magufuli uko wazi kwani ni kiongozi shupavu na mchapakazi na hajapatikana kwa rushwa. :A S thumbs_up:HAPA KAZI TUU. Watakoma mafisadi na wazembe kwani JEMBE na NGOSHA...
Hayo yote uliyoyasema kuhusu rasirimali ni sahihi. Kumbuka Lowasa kawa mwana ccm toka Enzi za TANU. Alileta mchango gani katika kunusuru rasirimali zetu? Leo ndo atazitumia vyema? Marekani ilikuwa inakumbwa na suala la ubaguzi (racism). Hawakutaka Rais tofauti na mzungu. Lakini upande wa vyama...
Jibu hoja. Mleta maada kajieleza vizuri sana. Tatizo wengi wanatumia nguvu na ushabiki tuu. Outreach ya Ukawa na chadema ni ndogo ukilinganisha na CCM. Kweli upinzani utakuwa mkali but CCM itashinda kwa 80%
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.