Mabadiliko na Lowasa? Umechanganyikiwa bana. Kwenda huko hakuna mapya na fisadi mkuu wa nchi hii. Kamwe Ikulu si ya majizi na wafanyabiashara. Viva Magufuli ingia Ikulu ukomeshe mafisadi wanahaha!Lazima ccm ife kwanza ndio wananchi wapate mabadiliko wanayoyataka