Recent content by ndagala

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Mafundi wa soka mbona mnamsahau Milan baros.. Fundi mwingine kaka hua nataman kulia nikiangalia clip zake akiwa Milan..
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora yahamia Dodoma rasmi leo

    Msaada nawezaje ku download hii video ya mh kailuki.?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Kwa hili naichukia serikali yako

    Mungu naomba tusaidie tufike 2020 salama..
  4. N

    JamiiForums Tanzania Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

    Jman jot ni comedy too hakun lolote anaweza kufany baya..
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli leo Mwanza kuhusu ajira amesema uhakiki bado unaendelea, usitegemee ajira serikalini

    Asante Mungu atusaidie tufike 2020 amina..
  6. N

    JamiiForums Tanzania Beki bora zaidi kuwahi kumshuhudia!

    Ramadhani waso + boniface pawasa + victor costor jumba kwa bongo kwa ulaya kuna safu ya ulinz ya jose mouh akiwa na intermilan wakiongozwa na kaka mkuu lucio..
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za serikalini kwa uhakika zitafunguliwa lini?

    Tukomae tuu tushike tuliposhika kwa mikono miwili...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

    Huyu sio mtu wa kumfananisha na wajinga..
  9. N

    JamiiForums Tanzania Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

    Gaucho giniaz wa soka anafanya vtu ambavyo hujawahi kufikilia. .
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu

    Toa maelezo plz..
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za watumishi 2016/2017

    0766669403
  12. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Angela Kairuki arudie kujibu swali la mbunge wa Singida Mjini kuhusu maslahi ya watumishi

    Jmn jpo serikali hii haitendi kwa kadir tunavotegemea lkn kauli kama hiz kimsingi sio nzuri kabisa..
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za watumishi 2016/2017

    Wakuu mim naunga mkono tuanzishe group la whtsap la wote tunaosubr ajira ili tuweze kufalijiana na kupeana plan mbadala za kujikwamua kimaisha maan nafikir kunauwezekan mkubw san tukafundishan furs zngne uko kuliko kukaa tuna subir tran airport..
  14. N

    JamiiForums Tanzania Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Mkuu jibu lake utalipata kutoka katika kitabu cha Hesabu 21:4-9 BWANA akatuma nyoka za moto kati ya watu wakawauma watu wengi wakafa watu wakamwendea musa wakasema tumefanya dhambi kwa sababu tumemnung'unikia Mungu na wewe utuombee kwa BWANA atuondolee nyoka hawa basi Musa akawaombea watu BWANA...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waanza kulalamikia utawala wa Rais Magufuli, wadai hali ngumu ya maisha

    Nakuunga mkono kabsa ndugu ukiwaza sana unaweza ukatamani kwa hiki kipindi cha miaka hii ni kheli ungekua mzaliwa wa nchi nyingine na sio hii... Mtazamo wangu nchi hii kana kwamba sio yetu ni ya wanasiasa tuu... naichukia sana siasa..
Back
Top Bottom