Jamani,
tutafute habari zaidi. je, haiwezekani kuwa Richmond ilikwishuzwa zamani? Je, baada ya CRDB kukataa kutoa LC, nani aliwapa pesa Richmond za kuleta mtambo wa MW 20?
Je, Richmond haikutumika tu ili tajiri mmoja mwanasiasa mwenye connections na higher authority wapate bila kujulikana...