Yaani ndugu yangu usitumie nguvu sana kuwajibu hawa lumumba kwani wengi hawajielewi serikali yao badara ya kununua dawa hospitalin wanashinda kununua viongozi wa upinzani ccm tumewabana vibaya sana
Upinzani amini msiamini akiondoka mbowe na sefu sharifu ahmad upinzani umekwisha sisi kama wanachama bado sana tunawahitaji.watuongoze kwani kilio chenu na sala zenu.nyie maccm hawa viongozi waondoke ili wanaokuja mpate kuwanunua au kuwatishia hawa waliopo mtasubiri sana na fitna zenu
Ccm wamebanwa pabaya bora wanunue wananchi wote kwani ili mambo yao yawe mazuri watatue matatizo ya wananchi maji umeme matibabu nk umaskini umekithiri then wanategemea watanzania kwa vile ni mazwazwa waendelee kuwapigia makofi
Wengine wanatishwa au wana biashara zao sio halali au hawajalipa kodi muda kama huyo anayejiita wakili msomi aliyekuwa act wazalendo ametishiwa kulipuliwa
Lakini kwa upande mwingine wakome utakuta hawa hawa watumishi wamevaa manguo ya kijani ya laana ya ccm na kuimba ccm mbele kwa mbele juzi mkulu anasema sitapandisha mishahara watu wanapiga makofi yaani ndio maana tunaambiwa asilimia kubwa ya watanzania walishasomewa albadiri hawajielewi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.