Unajua kwanini watu wanahama upinzani saa hii?

Unajua kwanini watu wanahama upinzani saa hii?

Ccm wamebanwa pabaya bora wanunue wananchi wote kwani ili mambo yao yawe mazuri watatue matatizo ya wananchi maji umeme matibabu nk umaskini umekithiri then wanategemea watanzania kwa vile ni mazwazwa waendelee kuwapigia makofi
 
Hizi nyomi za mikutano ya udiwani zimewatisha sana hivyo lazima zipangwe mbinu za kuvuruga wapinzani
 
Mpka Msando hata siamini aisee. Tulitegemea vijana kuwa imara kubadili muelekeo wa hii nchi kumbe na wao ni wasaka tonge.
 
vipi mtu akitoka ccm akahamia chadema ndio anakua ameshashiba??
Kuna kushiba kwenye hii dunia?Wanaokuja cdm wameokoka au wamezaliwa upya,wameacha ubinafsi na kuamua kutetea wengine wenye hali mbaya,walio sahaulika,waliotengwa,wanaonyonywa na kudhulumiwa na mbiriz wanaolitafuna taifa.
 
Mwingine ababwabwaja ati "hayupo mahali salama kwenye vita hii ya ufisadi". Anaulizwa sasa huko unakotaka kwenda usalama wake umeuona au umehakikishiwa utakuwepo?
 
Mwingine ababwabwaja ati "hayupo mahali salama kwenye vita hii ya ufisadi". Anaulizwa sasa huko unakotaka kwenda usalama wake umeuona au umehakikishiwa utakuwepo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
WACHA WAHAME...IMEKUWA NI KUHAMA KAMA UNAHAMA NYUMA..
UKIPANGA NYUMBA LAZIMA UTAHAMA
UKIJENGA NYUMBA HUWEZI KUHAMA
 
Kuna mtu aliwai kuniambia hata akiondoka mbowe chadema yeye atabaki huo ndio msimamo mtu kama kafulila asiaminiwe tena ni kibaraka mkubwa
 
Hasa namba 14 , wanaogopa kufungwa, harrasment ya polisi na mambo kama hayo
 
Laiti wengi wetu tungetambua ‘collective responsibility’ na ‘active citizenship’, kuwa kama raia na sisi tuna WAJIBU, zaidi ya kulipa kodi..bila shaka tungekua na mchango mkubwa zaidi katika maendeleo ya nchi. Tanzania
MyTanzania
 
Kweli vita imepamba moto...... Bora hii vita ingekuwa hao defectors wangekuwa si wasomi... Wengi wao ni degree holders... Sijui walisoma kitu gani huko waliposoma
Walienda kusomea UJINGA.
 
Basi upinzani wengi wananjaa na kuwapa nchi ni Hatare kubwa sana lakini pia tujuze vipi wale wanaotoka ccm kwenda upinzani he ni njaa?nao


Usiumize kichwa kwa hesabu ya mwenzako jibu rahis ni democracia
 
16. Wanatishwa na kwa njia mbalimbali.. Ukiwa dhaifu unadhoofishwa
 
1. Wana njaa kali wanatafuta pa kujishibisha

2. Wamekosa ukomavu wa kisiasa, wanafikiri upinzani ni lele mama

3. Wanafikiri upinzani hauna cha kusema angali hata Marekani/Uingereza/Ufaransa upinzani una mambo kibao ya kukosoa serikali

4. Ndoto zao za kunyakua madaraka na vyeo zimefifia

5. Hawana uvumilivu wala mipango ya kisiasa ya muda mrefu

6. Wamezoea shamra shamra, zikikosekana watazitafuta popote kwingineko

7. Wamezoea kusimama penye umati mkubwa na kushangiliwa

8. Wana ufinyu mkubwa wa mawazo

9. Hawana mrengo/itikadi imara ya kisiasa, kila siasa inayovuma inawapeperusha

10. Wanatafuta nafasi za uongozi ndani ya chama tawala wakikosa watakwenda kwingine

11. Ni wabinafsi wakubwa, hawasimami kwa ajili ya manufaa ya wananchi bali matumbo yao

12. Wamefanya siasa kuwa ajira binafsi kama kulima mpunga, shamba hili likichoka wanahamia shamba jingine na kutelekeza la kwanza

13. Ni matapeli wa kisiasa

14. Hawapo tayari kuwatumikia wananchi katika wakati mgumu

15. Wanategemea siasa pekee kupata fedha, watu hawa ni hatari kwa nchi

Yaani nakosa jina la kuwaha hawa!
 
Back
Top Bottom