Recent content by Nchimbi M F

  1. N

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    Nyinyi hamjawai umizwa vizuri......mniulize..........nililia mimi mpaka nikapitiwa na usingizi......
  2. N

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, nimeona picha za mpenzi wangu akiwa na mwanaume wake wa zamani kimahaba

    We anzia mlipoakutana....ya nyuma hayakuhusu.....
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    Ndo angekuwa baba yako mzazi ugempinga?......be honest.........hakuna anayeoenda umaskini
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja tulichonunua kumbe ni cha mpenzi wa zamani wa mke wangu

    Waswahili wanasema....kiporo hakihitaji moto mwingi....bro hiyo ishu....utapata kisukari kwa mawazo ufe bule........uza jenga kwingine............ila kiukweli jamaa anakugongea.......wanawasiliana hao hatua kwa hatua....ukizubaa sumu inaweza kukuhusu wapate nafasi ya kujinafasi.....
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inawajengea nyumba walimu?

    Walimu wanalipwa mshahara mdogo sana.......wanaishi kwa kuungaunga tu.....hakuna posho wala allowance yoyote....anategemea mshahara 100%...hakuna night wala safari ya kikazi.....ni chaki mwanzo mwisho.......Ualimu ni issue asikwambie mtu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli aibua mtikisiko urais

    Kazi ipo mwaka huu....
  7. N

    JamiiForums Tanzania Namaliza degree mwezi ujao, nitaenda wapi?

    Unamatokeo mabovu?.............tutakushaurije sasa na matokeo mabovu
Back
Top Bottom