Nakupa like, amepatia kweli huyo mtu na huo ni ufunuo ameupata toka mamlaka iliyo juu kabisa.
Ujingaa huuu pumbaaMagufuli siyo msafi kihivyo lakini ukimlinganisha na Lowassa na Mwigulu basi Magufuli ataonekana anafaa ndani ya CCM lakini kwa kuuza rasilimali za Taifa na kuwagawia watu binafsi kwa bei ya kutupwa na hata ndugu yake akaonekana anamiliki nyumba ya hadhi wakati siyo mtu muhimu serikalini basi hana usafi. Pili alijenga lami kupitia kwake Chato bila kupitisha hiyo b=plan Bungeni, anaweza kufanya vituko akiwa Rais, labda anafaa U-waziri Mkuu.
Report ya CAG itapanguliwa tuu...watanzania (hadi wapinzani) wanakubali mchapakazi Magufuli...hakika hili ni pigo kwa UKAWA
wagombea wa ukawa bado hawajaanza kutangaza nia,maana mda unazidi kwenda wako kimya tu
Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."
Watu wa aina ya magufuli wapo wengi. CCM ina hazina kubwa ya viongozi
Huyu aliye uza nyumba zetu kwa bei za kununulia ndizi akishirikiana na Mkapa ndiye mnatueleza ni mgombea pendwa CCM?
Rais wa Tz hawezi toka Kagera, Mbeya, Mwanza, Shinyanga, Bunda, Arusha, Singida and the like character.
Jihoji why????
una matatizo,yaani ujenge hoja nusunusu halafu unataka watu wahihoji? umeweka basis zipi za kutufanya tujihoji? kutaja mikoa na wilaya?
Rais wa Tz hawezi toka Kagera, Mbeya, Mwanza, Shinyanga, Bunda, Arusha, Singida and the like character.
Jihoji why????