Recent content by Ncha Kali

  1. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dodoma Warangi na Wagogo amkeni haraka sana lasivyo hamtanufaika na ardhi yenu, mjifunze kwa Wazaramo

    Ardhi kazi yake ya maana ni pa kuzikwa tu, mengine yooote ni ubatili mtupu.
  2. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa huko mbeleni Powercef (Ceftriaxone) ikashindwa kutibu kabisa kutokana na drug resistance

    Linda afya yako kwa kuishi vema, usitegemee matibabu ya binadamu..... usigeuke fursa na mtaji kwa watu.
  3. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanadai Manabii wote kabla ya Mohammad walikuwa Waislamu; Je Nuhu naye pia?!

    Kwani Nuhu kupakia wanyama lengo lilikuwa ni kuwala?
  4. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanadai Manabii wote kabla ya Mohammad walikuwa Waislamu; Je Nuhu naye pia?!

    Nguruwe ni haramu hata kwa wakristo, nyie wengine wahuni mshaamua kuleni tu hakuna anayewazuia..... na endeleeni kujifariji.
  5. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Ukipita ofisi hizi wapatie watumishi chochote

    Subirini uchaguzi mpate posho ya kusimamia.
  6. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Sio mtumishi wa umma, yupo zake mapumziko na maisha yake binafsi..... unataka aendelee kuripoti kwako?
  7. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Demu wa mtaani ndo wale watoto wa mitaani (street children) wakiwa wakubwa?
  8. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

    Hivi ni nani anyejua ugaidi ni nini?
  9. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Leo nimemkomesha huyu mpangaji mwenzangu.

    Tanzania nchi yangu.
  10. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Je tume ya Jaji Chande imekidhi matarajio ya Watanganyika?

    Asitokee kiumbe yeyote kuomba sijui ripoti, hii ni mali yangu.... ni mali ya Rais.
  11. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Napinga kauli ya Freeman Mbowe ya kumsamehe Sabaya

    Mbowe alisha-graduate kama Sabaya.
  12. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

    Kumbe nguchiro ndo a certain individual?
  13. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338

    Tushaambiwa tuwazomee majizi hadi waone aibu.
Back
Top Bottom