Recent content by Nbajut

  1. N

    Bodi ya mikopo kuna nini?

    Wanafunzi wa elimu ya juu wanaanza masomo jumatatu. Cha kushangaza bodi ya mikopo inaendelea kupitia maombi ya mikopo kwa waombaji wa mwaka wa kwanza wapatao elfu 12. Wengi wao wameshafika vyuoni, hawana ada na pesa za kujikimu na vyuo vinasema mwanafunzi hasajiliwi bila kulipa ada kuanza 60%...
  2. N

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Shida iko kwa tuliokamilisha taratibu za uhamisho mwaka jana, vipi tufanyeje?
  3. N

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Inaumiza kwa kweli, serikali hii kwa nini imesitisha mambo yanayohusu watumishi?
  4. N

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Msaada Jamani. hawa wanaohama wanatumia njia gani?
  5. N

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani msaada kwa mlioko karibu na tamisemi, Hii taarifa ya waliokamilisha taratibu za uhamisho mwaka Jana na kuzituma tamisemi kurudia mchakato upya zina ukweli?
  6. N

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani kwa kweli hili la uhamisho limeshakuwa janga la kiutumishi, kwenye taarifa sahihi atujuze na atuwekee source
  7. N

    Kujisikia kichefuchefu na kutapika wakati wa ujauzito (Morning Sickness)

    Jamani mke wangu ana mimba ya mwezi 1 na wiki 2 lakini hawezi kula chochote, kila anapoona chakula chochote kile anatapika, hawezi kunywa maji na wala kula matunda yeyote. Je nifanyeje?
  8. N

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    kiukweli bwana Dar amesahaulika katika hisotoria ya Tanzanzania, vizazi vya sasa na vijavyo tunahitaji kujua wapi alipo na tunamuenzi vipi
  9. N

    Serikali mbili inatunyima haki watanganyika

    Kwa muda mrefu tumekuwa kwenye muungano huku Zanzibar wakiwa na serikali ya huku mambo ya Tanganyika yakishughulikiwa na serikali ya Muungano na rais wa Jamhuri ya muungano akiwa pia rais Tanzania bara. Mwelekeo unaonesha katiba mpya itaturejesha kule kule, mimi nadhani kama tunataka...
  10. N

    Lema akamatwa na Polisi na kuachiwa leo hii

    Thinks twice for your words to lema
  11. N

    Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Mpango wa kuchukua gesi huo
Back
Top Bottom