Recent content by Naziwe

  1. N

    Hivi ndivyo Rais alivyoongolea Mahakama ya Kadhi na Waliomuelewa ni Watu Wachache sana

    Ila hawa wenzentu sijui wanajifikiriaje? Mimi hua nawaona ni watu wakawaida saana yaani kama sisi, ni binadamu kama vile sisi wakristo. Ila wao wanajiona ni tofauti saana na sisi. yaani kama wako dunia nyingine vile. Huko iraq ambako kuna waisilamu wengi tena wamejigawa eti washia na wasuuni...
  2. N

    Wimbi la wazee vikongwe na ajira ya ulinzi

    kumbe wengi ni washirikina? mhh halafu inawezekana, kuna Jirani yetu ana miaka 75 analinda duka la muhindi usiku namshangaaga sana maana siku nyingine anakua kachoka saana lakini anakwenda kazini tena usiku ni balaa
  3. N

    Askofu Benson Bagonza: Kwa matusi yake dhidi ya Kanisa, Samwel Sitta ni sawa na Goliati

    Mnamkumbuka Mfalme daudi alivyolala na mke wa Afsa wake mKUU na kumpelekea yule mwanamke kupata Ujauzito? Mungu alimtuma Nabii aende akamwambie Daudi kitendo alichofanya ni laana na ni chukizo mbele za Mungu lakini Daudi alijua nafasi ya ufalme kapewa na Mungu alikua mnyeynyekevu akaomba na...
  4. N

    Askofu Benson Bagonza: Kwa matusi yake dhidi ya Kanisa, Samwel Sitta ni sawa na Goliati

    Yaani mngejua jinsi serikali inavyowategemea viongozi wa dini katika kujenga jamii tusingefanya hivyo, Leo Mwingira akiwaambia waumini wake wafanye hivi na watafuata kumbuka Mwingira ana waumini wengi,hali kadhalika Kakobe,Lusekelo, na makanisa yote. Tuje na Misikitini bado kuna waumini wengi...
  5. N

    Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

    Kuna professor mmoja wa chuo kikuu alimpiga mkewe hadi yule mwanamke baadae alikuja kufa simkumbuki jina lake huyo proffessor . Mi nafikiri ukiwa prof. tena mwanaume unapatana na ka laaana fulani haswa unapomuona mkeo, maana wengi maisha ya kifamilia/kindoa yanawashinda saana. Hivi ni maprof...
  6. N

    Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

    Unajua nchi yetu imakua na viongozi iwe kwa njia yeyote wanataka madaraka, hawa viongozi wa deni wameshasema saana,wameshauri lakini serikali imeweka pamba masikioni, sasa wao wafanyeje? Ni ngumu wao kusemasema kila wakati kwani sasa wameacha wao viongozi wafanye watakavyo. Angalia wananchi...
  7. N

    Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

    kwani ludovick josefu ndo nani? maana sijamuelewa
  8. N

    Maafa Ruvuma: Watu zaidi ya mia mbili walazwa baada ya kunywa pombe na togwa vyenye sumu

    Halafu mnaomba mfanikiwe huku mnawatukana mama zenu? nakuhurumia sana kaka dagii.
  9. N

    Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

    jamani huyu wamlola ni mbeya au mahaba? Maana anaonekana ana mahaba niue kwa Lowasa. Tumechoka na habari zako za Lowasa, toka kivingine sasa
  10. N

    Tunaovuna mapesa Dar es salaam tunatoka mikoani

    mbona kuna watu mmekasirika sana na msemo wa shy land, kikubwa anachotakiwa atuambbie hiyo research kaifanya lini na atupe takwimu na majibu yake, inawezekana akawa na ukweli wake. Mleta uzi hebu tupe takwimu ya hiyo research yako.
  11. N

    Mwanzo wa kudai mahakama ya kadhi Tanzania

    kwa kweli hata waisilamu wenyewe hawatazipenda haswa wale wenye michepuko. (kupigwa mawe hadi kufa?)
  12. N

    Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa

    Juliana Shoza hajambo. Naona kaka unaendeleza mila ambayo wengine washaiacha
  13. N

    Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

    Huo waraka una Ubaya gani? Acha dharau, mie nimeona kamuasa wassira aseme ukweli. Kumwambia hivyo ndo uzee umemfikia mwisho? Wassira ndo anajitoa akili kama ambavyo sura yake ilivyo na akili ndo anakoipeleka. Kama na wewe unamsapoti Wassira basi una maslahi binafsi. Wassira alikosea kujinadi...
  14. N

    Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

    tehe tehe yaani mnaandamana kiroho? Nimeipenda saafi saana
Back
Top Bottom