Recent content by Nazareti

  1. N

    China yajitoa rasmi ujenzi wa reli nchini, yadai Mkopo ilioutoa ulikuwa ni wa upembuzi yakinifu

    Hata mie nimeshindwa kuelewa!!! sasa wewe unamtakiaje rais ashindwe huku ukijua akishindwa hasara ni taifa zima? MUNGU amtie nguvu Rais wetu jamani ili hii mipango ifanikiwe maana faida ni taifa, sisi sote tutaitumia hiyo reli ama kwa kusafiri moja kwa moja au kusafirishia mizigo yetu.
  2. N

    Barrick Gold - Acacia Mining : Better the devil you know, than the devil you don't !

    Kama sisiyenu itasikia kilio hiki basi siyo ile ile tena, ila niijuavyo sisiyenu haiko tayari kusikiliza haya yote badala yake inampango waku kuyaongezea miaka haya makampuni, si unakumbuka sakata la gase ya mtwara? sisyenu ndo iliyouza dhahabu ya tz kwa bei jojo mpaka miaka 100. Kwahiyo maada...
  3. N

    Bloomberg: Kampuni za Uturuki na Ureno zashinda tenda ya ujenzi km 400 reli ya kati

    Sasa hapo mimi nilizani umekuja kutuelimisha kuhusu mazingira ya hiyo reli ya kenya, ardhi yake ikoje, kuna madaraja mangapi ukilinganisha na ya Tanzania ili tuweze kujua nikwanini km zinatofautiana kidogo lakini garama ya Tanzania inaingia mara mbili kwa ile ya Kenya.
  4. N

    Picha: Matumizi ya bilioni 10 kwa UDSM kama yanavyoonekana kwa sasa

    Acheni uongo wa kisiasa ili mteuliwe, hayo majengo kamwe hayawezi kujengwa na bil.10, hiyo mmeitengeneza ili mpate umaarufu ila bei halisi mnayo mifukoni mwenu, hata CAG analijua hilo.
  5. N

    COMPARE & CONTRAST: Turkish vs Chinese Infrastructure (SGR) loan to Tanzania

    kwe kwakweli kula kwanza mkuu maana umetufanyia kazi kubwa na ngumu, umetutoa tongotongo, ukimaliza huo msosi nitarudi tena kuosoma hii thread,
  6. N

    Kumbe wachina walitaka kutupiga kwenye Reli kama walivyofanya kwenye Bomba la Gesi

    JPM mbele kwa mbele, hongera mkuu kutujuza maana tulitaharuki ni nini kimejiri kwenye huu mradi mkubwa na wenye faida kubwa mno hasa watanzania wa hali ya chini. Hebu nijulishe tafadhari ni lile bomba la kutoka Ug had Tng? au mtwara kwenda Dar? na tulipigwa kiasi gani cha pesa, je gharama halisi...
  7. N

    Hali mbaya: Makampuni ya simu yaanza kupunguza wafanyakazi. ITV yasogeza mishahara mbele

    Na Trump ameshakataa kuwa kila nchi ijijue yenyewe, tunakimbilia uturuki? huko tutaambulia miskiti tu
  8. N

    Aibu iwapate marais wote wa Africa

    Hii iwe funzo kwa viongozi wa ki-Africa ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiibia nchi zao masikini na kuwanyonya raia zao kwa kukwapua mabillioni ya shilingi na kuyaficha kwenye mabenki ya USA na EU. Ni ukweli uliowazi kuwa hawa viongozi wetu wanapoibia nchi zetu masikini hizi na kuhifadhi...
  9. N

    Trump atoa vipengele vinavyoongelea mabadiliko ya hali ya hewa na ushoga kwenye tovuti ya Ikulu

    Sasa hivi ndugu kila taifa limeshutuka kutoa misaada kiholela kama zamai, kumbuka USA ikibana ujue hata UK na EU zitashutuka kwasababu kila nchi hasa nchi kubwa inajitahidi isipitwe na nyingine. Lazima EU na UK zitataka kuona ni nini USA inataka kufanyia pesa yake ikiwa imekataa kutoa misaada...
  10. N

    Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria

    Ngoja tusubiri JPM anasemaji kuhusu hili, tumpe mda au tumkumbushe juu ya hili maana naona kama halimo kwenye sera yake.
  11. N

    Trump atoa vipengele vinavyoongelea mabadiliko ya hali ya hewa na ushoga kwenye tovuti ya Ikulu

    Ni ukweli usiofichika kuwa kwa miaka mingi USA imefadhili kwa wingi utoaji mimba unaondeshwa na marria stoppes, hii imesababisha binadamu wengi wauawe wakiwa tumboni mwa mama zao na hivyo, tumepoteza watu wengini mno ambao pengine wangukuwa msaada kwa jamii. sasa Trump amefuta kabisa na kupiga...
  12. N

    Tanzania takes over FETÖ-run [FEZA] schools in the country

    Uzuri ni kwamba anayeiunga mkono Yisrael ndiyo mshind kwa vyovyote vile, shule za kigaidi hazikubaliki lazima zitaifishwe tu zikabiziwe kwa serikali ya Uturuki
  13. N

    Change, Yes we can! Ni kipi hasa kiitwe real change?

    Ameeneza dini yake uislam huko USA, isn't that change? JPM naye si aliahidi mabadiliko ya kweli, kupambana na ufisadi, chaajabu bado IPTL inanyonyeshwa na Tanesco 8bilonthly, mwafa!!!:D:p
  14. N

    Hii picha ya Rais Kikwete inaongea mengi...

    Lo! kwakweli JK personality alijuamini, na hakuogopa eti wapinzani wakifanya mikutano itamuondolewa utawala wake bali alitawala kama kiongozi asiyeogopa hata wangemsema vibaya yeye alijua ni kiongozi wa watanzania wote, na alijua wazi uhalisia wa siasa kuwa mpinzani siku zote anakazi ya kuikosoa...
Back
Top Bottom