Change, Yes we can! Ni kipi hasa kiitwe real change?

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Change, Yes we can! Ni kipi ni Change kiuharisia? Ma GT mtusaidie hii change kubwa iliyokuwa inahubiriwa na Obama 2008 mpaka wamarekani wakahisi uhenda wakahamia hata kuishi mwezini, ni nini hasa hii change ilileta? Ni kwa kiasi gani wapiga kura waliridhika kwamba kweli haya ndo mabadiriko tuliyoyataraji?.

Je, dhana hii la mabadiriko ya Obama 2008 linaweza kuwa ni sawa na yale mabadiriko yaliyokuwa yanahubiriwa na Lowassa 2015 hapa Tz? Hivi kwa mpiga kura na mtu wa chini wa kawaida kabisa ni kitu gani hasa kinaweza kumwingia kama mabadiriko yenyewe, na je hii hari huwa inakuwa kweli?
 
Ameeneza dini yake uislam huko USA, isn't that change? JPM naye si aliahidi mabadiliko ya kweli, kupambana na ufisadi, chaajabu bado IPTL inanyonyeshwa na Tanesco 8bilonthly, mwafa!!!:D:p
 
Back
Top Bottom