Hii iwe funzo kwa viongozi wa ki-Africa ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiibia nchi zao masikini na kuwanyonya raia zao kwa kukwapua mabillioni ya shilingi na kuyaficha kwenye mabenki ya USA na EU.
Ni ukweli uliowazi kuwa hawa viongozi wetu wanapoibia nchi zetu masikini hizi na kuhifadhi trillion za shilingi USA, hizo hela zimechangia kwa sehemu kubwa sana kwa ukuaji wa uchumi wa USA na EU kwa sababu zinaongeza mzunguko wa fedha kwa jamii hizo nasisi huku kubaki tunakimbizana na uhaba wa fedha na kusababisha mzunguko wetu kuwa mdogo mno.
Ndiyo maana tumejiwekea masharti magumu ya mikopo kwasababu hakuna hela ya kutosha kwenye mabenki yetu kwakuwa watawala wengi wa ki-Africa wamekuwa wakiiba mpaka hata hela ambazo USA na EU wataoa kama mkopo kw taifa.
Kiukweli ni kwamba hela tunazopewa kama misaada au mikopo ndiyo hizo walizotuibia viongozi wetu na kuzificha huko EU na USA. Sasa waaibike vya kutosha maana Trump hana tena mpango wa kusaidia nchi maskini tena, je kwanini viongozi wetu walipenda kuibia raia wao masikini na kuwapelekea USA na EU ambao ni matajiri tayari?
Hivi ni kwanini wasingeiba na kuziweka kwenye mabenki ya hapa nchini na kuongeza mzungo wa hela ikiwemo na mikopo yenye riba ndogo tu kiasi kwamba Watanzina wengi wange mdu hiyo riba. Ni maswali magumu yakujiuliza.