Recent content by naxonn

  1. N

    Mgawanyo wa Kanda za CHADEMA umeleta mafanikio ya ajabu

    Mkuu huku kanda na uongozi wake mpya imezinduliwa juzi tu na J. J. Mnyika I hope soon amshaamsha itaanza.
  2. N

    Mgawanyo wa Kanda za CHADEMA umeleta mafanikio ya ajabu

    Mkuu kuna ukomo wa wovu kuwafikia wanyoofu, inawezekana mungu kawapiga upofu wasije dhuru yaliyoanzishwa na yeye ili yaishe na yeye mwenyewe.
  3. N

    Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

    Diploma ulifundishwa na walimu wa level gani?
  4. N

    Game la harakati za kuusaka urais CCM limerudishwa mwanzo baada ya kuvuja kwa email

    Upo sahihi, hakuna tulichitegemea zaidi ya kukanusha madai haya. Endapo yangukuwa yanatazamiwa ka chanya basi wangeyakubali!! "Mtu mzima kumdanganya mtu mzima mwenzake kwa maneno ya kitoto kuna walakini"
  5. N

    Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Mkuu nimesikia kuwa kuna mgomo wa madereva Mbeya inaweza kuwa sababu ya kujaza abiria wote. But maeneo ilipoanguka hiyo gari ni pabaya sana, panahitaji umakini zaidi kwa madereva.
  6. N

    Lowassa kuongoza matembezi kupinga mauaji ya Alibino

    Maamuzi yake magumu ya kukaa kimya bungeni na kuingizwa kwenye top 10 ya wabunge ambao hawatoi wala kuuliza swali lolote bungeni, yeye akiwa ameshikilia Na 5 inamaana hsts top 5 kwa wabunge!!!
  7. N

    Wananchi kuwakataa Zitto Kabwe na Edward Lowassa

    Mkuu umeongea jambo la msingi kabisa ambalo linafichwa kuonesha uchafu wa EL na serikali ya ccm. Hakuna aliyeonewa katika hilo zaidi sisi wananchi wa kawaida.
  8. N

    Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

    Mshamba na mtu mwenye low thinking capacity pekee ndiyo anayejitutumua na kujikakamua kubishiana kuhusu vyuo, sidhani kama kati yenu kuna aliyehold degree!!
  9. N

    Maswali 21 kwa Zitto Kabwe

    Mkuu kweli lisemwalo lipo kama halipo..........!! Yashafika tayari!!!
  10. N

    Kati ya Hawa, Mmoja atakuwa Rais mwaka huu...

    Ila yeye anamtaka EL!!
  11. N

    Vijana CCM kufungua Mashtaka Dhidi ya Dr Slaa Kwa Kukashfu CCM na Viongozi Wake!

    Kwahiyo mnavyomburuza Gwajima mnadhani mtamburuza na katibu mkuu wa Chadema!!kwanza mwenyewe alitoa habari hiyo hajiamini anaficha jina lake!!sasa wakikutana mahakamani kwenyewe woga si utamuua!!tena makosa yasiyo na msingi wowote, basi kama ingekuwa hivyo 90% ya wanachama ccm ukiwemo wewe...
  12. N

    Wabunge 10 machachari, 10 wakimya

    rasimu ya pili ya katiba ilikuwa ns hicho kipengele kinachompa nguvu mwananchi kumwajibisha mbunge kama hawajibiki effectively. Hakuna njia mbadala sasa kwasababu wananchi wanaweza kutumia nguvu na weredi wao kumchagua mtu wanaoamini kuwa atakuwa mwadilifu na mchapa kazi.kwasababu lolote...
  13. N

    Wabunge 10 machachari, 10 wakimya

    Mkuu source ni gazeti la Mwananchi.
Back
Top Bottom