Recent content by nawenge

  1. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya NACTE yametoka?

    Jamanii hadi leo majina hakuna, nacte wanataka nini?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Binafsi nina mashaka na vodacom. Tarehe 8/9/2017, nilikua natoa pesa kutoka kwa wakala mwenye no. 367544 wa babati Manyara, kwa bahati mbaya nikakosea kuandika namba ya wakala na pesa ikatoka kwa wakala mwingine anaitwa Wariankira Ezekiel mndeme simfahamu huyu, na serio no ya muamala...
  3. N

    JamiiForums Tanzania WanaArusha mtaendelea kufa mkiwa vijana, hii ndio sababu

    Toa ushahidi banah.
  4. N

    JamiiForums Tanzania WanaArusha mtaendelea kufa mkiwa vijana, hii ndio sababu

    Wapi 14%
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Mahakama ya kazi ikiruhusiwa waislam watagoma kushtakiwa mahakama za kiserikali kitu ambacho kitawafanya wakristo nao kudai mahakama zao, serikari itamhukum nani tena? Ni bema tukabaki na serikali isiyodini.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Waziri Mkuu wa tatu kwenye awamu ya nne ya Kikwete?

    Magufuli hoyeeeeeeeeeeeeeeee
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuogeshea Watoto Nje Kumeshapitwa Na Wakati

    N kwelii ndugu angu umeongea.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya miili Iringa noma

    Sio Iringa pekee na wala sio mikoani tu, Nilikua Kilimanjaro wilaya ya Siha kijiji cha Engarenairobi, huko noma pia tena sana, Siku moja nimetoka zangu site nafika kwenye gesti niliyokua nimefikia mhudumu ananambia kuna bibie alikuja akimtafuta jamaa ake mhudumu akahisi labda ni mm, nikamwambia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya miili Iringa noma

    dhambi ni nyingi sana na hukunaga dhambi ndogo mbele zake maulana, lakini dhambi mbaya kuliko zote ni ifanyikayo kwenye hekalu la Mungu mwenyewe na hii c nyingine ni UZINIFU,imeandikwa MIILI YENU NI HEKALU TAKATIFU LA MUNGU MTU YEYOTE ATAKAYE LIHARIBU HEKALU MUNGU ATAMHARIBU MTU HUYO.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la zimamoto Manyara

    sawa ndugu, lakini kauli mbiu yao ni kwamba wanataka kununua magari sababu wana upungufu wa magari hayo, lakini hatuoni hayo magari na muda wa ile cert (validity period of awarded cert) unaishia feb 2015. Tuambiwe je hii ndo bima ya majanga ya moto? Na swali kuu Je mchangisho huu ni kwa nchi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la zimamoto Manyara

    Hivi sheria gani mnayotumia kukusanya michango kwa wafanyabiashara mjini babati. Ninavyofaham mm kama ilivyo kwa majeshi mengine, Jeshi la zimamoto ni kikosi halali kilicho chini ya wizara ya mambo ya ndani kama police nk. Kitendo cha wananchi/wafanyabiasha kuchangia jeshi hili ni cha nchi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    Zito yuko sawa kabisa, hoja ya kwamba kapoteza mvuto/kusikilizwa na watu makini haina maana hapa, cha msingi hapa tunaipataje katiba itakayokidhi matakwa ya watanzania sio walio wengi bali ya watanzania wote. Zitto toa hoja zako za msingi kuilinda Tz yetu tuko pamoja kwa saaaaaana.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata za uso jijini Mbeya kutoka kwa JK

    Unaposema kapigwa za uso unamaanisha nn?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kizungumkuti Kuungua kwa Bohari ya Dawa.

    Hii ndio bongo bwana.
Back
Top Bottom