Kizungumkuti Kuungua kwa Bohari ya Dawa.

Kizungumkuti Kuungua kwa Bohari ya Dawa.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Kuna tetesi kwamba Bohari ya dawa za Maralia iliyoungua jana haikuwa na kitu bali mzigo ulipigwa wote, (Zingatia: Mzigo uliingia last week) watu wamehamisha mali hlf wakachonga mchongo wa kuchoma Bohari.

Ndio maana jana wakati wa taarifa ya habari mkuu wa Bohari alitangaza kwamba muda si mrefu dawa za Maralia zitaadimika mahospitalini huku akiweka bayana kuwa wagonjwa wengi watahitaji kununua madawa hayo pharmacy sasa cha kujiuliza hapa kama mzigo haujaelekezwa huko yeye amejuaje kama wao dawa zitakuwepo huko? Tujadili hapa.
 
only in tanzania,the country terrorising its own people
 
What!!! Tanzania inasikitisha sana...Tuombe sana Mungu.. 🙁
 
only in tanzania,the country terrorising its own people

Kaka hapa Tz kila kitu kinawezekana, nakumbuka wafanyakazi a Tanesco mwaka 2012 walichoma meli bandari ya Mtwara iliyotoka Dar kuleta mafuta kwa ajiri ya mashine za Tanesco lkn watu wa karibu wanadai meli ile ilitia nanga bandarini usiku mzigo ukashushwa wote ukadivertiwa asbh meli ikachomwa moto.
 
lisemwalo lipo!

Hujawahi sikia wahasibu wa makampuni binafsi na umma wakijiteka.

Hali ilikuwa mbaya sana eary 2000's mabosi wakaanza kuomba escort ya polisi kila pale mhasibu anapofuata au kupeleka hela benki, lkn ilipofika miaka ya 2005 mpaka leo mapolisi nao wakaanza kula dili na wahasibu unasikia gari limetekwa bunduki zimepigwa hakuna aliyejeruhiwa hata kidole.

Lkn mabosi kidogo wameshituka
ndio maana kwa sasa malipo mengi hufanyika benki na wahasibu hutembea na cheki tu.
 
Kaka hapa Tz kila kitu kinawezekana, nakumbuka wafanyakazi a Tanesco mwaka 2012 walichoma meli bandari ya Mtwara iliyotoka Dar kuleta mafuta kwa ajiri ya mashine za Tanesco lkn watu wa karibu wanadai meli ile ilitia nanga bandarini usiku mzigo ukashushwa wote ukadivertiwa asbh meli ikachomwa moto.

Mkuu, inaitaji uwe jasiri ili kukubaliana na hoja yako, kwa kuwa kila mtu hufahamu " No research no right to speak"

Pia kwawavivu wa kufikiri ndio wanaoweza kupuuza ulichoandika.

Niwatakie Mjadala mwema.
 
Kaka hapa Tz kila kitu kinawezekana, nakumbuka wafanyakazi a Tanesco mwaka 2012 walichoma meli bandari ya Mtwara iliyotoka Dar kuleta mafuta kwa ajiri ya mashine za Tanesco lkn watu wa karibu wanadai meli ile ilitia nanga bandarini usiku mzigo ukashushwa wote ukadivertiwa asbh meli ikachomwa moto.
Lskini hats kama utaahila huu umezidi gharama ya meli na mzigo wa mafuta wapi na wapi. Au thamani ya warehouse na dawa mbona Havana uhusiano. Uzalendo jamani tunarudisha nyuma jitihasa zetu.
 
Ni jambo la kawaida kama wizi upo kila sekta unashangaa nini? Hebu fanyeni research kuuliza watu 2000 tu je umewahi kuiba, kuuwa, kudanganya, utapata jibu. Nilifanya na majibu Ni shocking
 
Lskini hats kama utaahila huu umezidi gharama ya meli na mzigo wa mafuta wapi na wapi. Au thamani ya warehouse na dawa mbona Havana uhusiano. Uzalendo jamani tunarudisha nyuma jitihasa zetu.

Kweli mkuu hii ni dhana mbaya sana na hatari kwa ustawi wa nchi hii.
 
Lakini hata kama utaahila huu umezidi gharama ya meli na mzigo wa mafuta wapi na wapi. Au thamani ya warehouse na dawa mbona Havana uhusiano. Uzalendo jamani tunarudisha nyuma jitihasa zetu.

Mkuu watu wanaangalia kamisheni inayoingia mifukoni sio gharama ya uharibifu, hukuwahi sikia kwamba ndege ya rais itanunuliwa hata kama wananchi tutakula majani?

Au unataka uniambie wewe ni mgeni huko mitaani vitu vya serikali ambavyo hununuliwa kwa bei ya gypsum kubwa sana huishia kuibiwa na wafanyakazi na kuuzwa mitaani kwa bei ya kutupwa?

Hapa mtaani kwetu kuna jamaa anauza mafuta kwenye kituo bubu, huwa ananiambia madereva wa magari ya serikali wakija kupiga nyoka wanampa lita moja mpaka kwa elfu moja ilimradi wapate chao.
 
Hii ndio bongo bwana.

Nawahakikishieni hii habari iatakuja kuwa ya ukweli, Kama watu wanadiriki kuharibu mahesabu ya kampuni na kisha kumuua mhasibu/kutoa roho ya mtu watashindwa kuchoma Bohari?
 
...mmmh!...wamewalisha watu ARV feki wameonahaitoshi,sasa wameona ni bora watiuangamize kwa maralia!!!???...ata kama kweli mtafuta pesa ya uchaguzi lakini sasa huu ni zaidi ya ushetani...
 
Hii ndio bongo bwana.

Nawahakikishieni hii habari itakuja kuwa ya ukweli, Kama watu wanadiriki kuharibu mahesabu ya kampuni/nchi na kisha kumuua mhasibu/mhusika wa pesa yaani kutoa roho ya mtu watashindwa kuchoma Bohari?

We ingia kwenye mirija ya watu uone kama hawakuondoi.
 
tetesi yako c ya kweli dawa za malaria zilikuwa store pamoja dawa mbalimbali za binadamu na zote zimeungua na hii kampun inaitwa phillips pharmaceuticals t ltd na sio msd 5 fanya utatifiti kabla haujapost, me ni mfanyakazi wa hiyo company iliyoungua
 
Yote yanawezekana we unafikiri yale majumba ya ufukweni yanajengwa kwa mshahara? We unafikiri ma-Jeep ya kina KOKUTONA ni mshahara? Ma Range Vogue/Sports ni mshahara ule? Watu wako tayari waue hata kijiji ili mradi wapige hela watu wanakunywa hadi uji wa mgonjwa we ukumbuki miaka ya nyuma kuna dC alifukuzwa na EL kwa kosa la kuiba magunia ya mahindi kwa ajili ya waathirika wa njaa? Stuka hyo bohari hata mie nlijua tu mchanga wa macho watu washalamba mzigo wanapoteza ushahidi,kuna kahindi flani kalikuwa kanasema eti jamani kuna explosive material yani yakiwaka yale habaki mtu na yeye yupo palepale anaongea yani ni usanii mtupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom