Recent content by Navoyne

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Magari Adimu (brand tofauti na TOYOTA, Magari yenye changamoto ya upatikanaji wa Spare Parts) Tukutane Hapa

    Vitu vingine ni kutumia akili tu utanunuaje gari 3.9m halafu liwe zima.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nadhani tumemuona Pochettino........na Ole on the wheel[emoji443][emoji443] Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. N

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Twende taratibu tatizo la Pochettino nini??
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wenye exposure kidogo tafadhali; wale washamba mpite hivi

    Inaitwa mate.....soma zaidi hapa https://en.m.wikipedia.org/wiki/Mate_(drink) Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. N

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Aisee hii team inabidi iuze wachezaji wengi sana hawana kiwango....... ole sio manager ila ni caretaker tutajuta kumwacha Pochettino . Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kushinda vita ya Uchumi?

    Tanzania ipo kwenye vita ya kiuchumi na Kenya na Rwanda ingawa Tanzania sidhani kama ilianza hii vita. Tanzania mpaka sasa imeshindwa hii vita haijajua vitu gani vinaweza yanyua uchumi wake yaani sie bado ni “reactive country” na sio “pro active”. Mbinu za kushinda vita bado sijaona ila kama...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Najua kuna machine ya kufanya hivyo ila gharama ya kuwekeza kwenye machine ya aina hiyo ni gharama......pia hata sukari yetu inajazwa na mashine. Kwenye hili la sukari wametuzidi kwa kila kitu tukae na kukubali tu. Marekani na nchi zilizoendelea wanajua changamoto ya kulisha dunia, hivyo kulima...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bora Ibra aingie nae.....
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Kuwa mzalendo sio kusema uongo......Sukari yetu tu haitutoshi halafu tukauze uarabuni,halafu umasikini wetu ustufanye tuwe tunapewa bidhaa mbovu sokoni.Eti leo hii tunambavu za kubishana na Marekani kwenye viwanda.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Kwa hiyo unataka kusema kutengeneza mifuko 50 ya kilo moja moja ni sawa na gharama ya kutengeneza mfuko mmoja wa kilo 50. Pia sukari yetu ubora wake ni wa chini sana kulinganisha na hiyo.......
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Sasa Mkuu hiyo sukari ya marekani kwanza package yake ipo poa ila sie sukari yetu ni ya kupimiwa pia hiyo ni zaidi ya kilo moja na nusu..... ambapo kwa bei yako uliyoweka ingekuwa TZS 3750+, pia quality ya sukari ipo juu kuzidi sukari yetu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Umefanya uchunguzi au umechukua kama ilivyo ila kwa maarifa ya kawaida sidhani kama ni kweli......
  13. N

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  14. N

    JamiiForums Tanzania Haya sasa, aliyeonyesha dole msafara wa Trump afukuzwa kazi!

    Ni vizuri tuwe tunajiridhisha kwenye mambo huyo Mama amefukuzwa na kampuni yake bila shinikizo la serikali ila ni kwamba kampuni uliona ameweka ile Picha ya kutukana kwenye Facebook page yake na taratibu za kampuni ni kutoweka Picha za namna hiyo. Hivyo wameamua kumfukuza kazi ingawa inawezakana...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hala Madrid......tunasubiria clearence sale january.
Back
Top Bottom