Kwa sababu una nyodo subiri haohao uliowatag waje kujibu km washalala ndio upumzike tena hadi kesho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilitakiwa ujiunganishe na washamba wenzako maana hata wewe unataka kujulishwa hicho ni nini.
Nikujulishe tu kuwa hiyo ni wine ya Dodoma/dompo
Eeeh ubaya ubaya tu hata Mimi japo siijui ila pia ningekua naijua nisingemwambia ..Hakuna kumwambiaKwa sababu una nyodo subiri haohao uliowatag waje kujibu km washalala ndio upumzike tena hadi kesho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa mate.....soma zaidi hapa https://en.m.wikipedia.org/wiki/Mate_(drink)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda huyu DonLuchesse anaweza kufumbua kitendawili chako
βᴬβ±βΏΜ`α΅ α΅ Κ·α΅α΅α΅βΏ α΅Λ‘β±α΅α΅ α΅Κ°α΅α΅ αΆα΅βΏ α΅α΅α΅α΅ α΅ΚΈ α΅α΅α΅α΅α΅`Λ’ α΅Λ‘α΅αΆα΅β
Hapana,Hahahhahah
Halafu wewe ni mtu wa Iringa wewe