Recent content by navin dippe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa mzinga wa idd nimetoka nduki

    Tangu mwishoni mwa wiki iliyopita mchepuko wangu umekua ukidai idd imekaribia hivyo inakuaje? Kila akianzisha mada ya idd mm naingiza mada nyingine, hivyo hivyo hadi Jana alipoomba kuonana na mm uso kwa uso, nilipotoka kazini tukakaa fyatanga bar boko maana wote tunaishi maeneo hayo, akaanzisha...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Here is Russia's Response to NATO’s activities near Its borders

    Mama samahani, professional yako ni ipi hasa? Maana upo deep sana kwenye masuala haya
  3. N

    JamiiForums Tanzania US Missile Shield In Romania Switched On, Kremlin Calls It ‘Threat To Russia’s Security’

    Baba mchungaji Asante sana kwa taarifa hii na ufafanuzi uliotoa, ningependa sana wote wanaoleta habari hapa wafanye kama wewe, upo objective, hauna ushabiki wa kijinga, hata kama unao, ushabiki huo ukaonekana kupitia nondo unazotoa, sio kama yule anaesema USA baby kila Hoja yy ni USA baby
  4. N

    JamiiForums Tanzania US Missile Shield In Romania Switched On, Kremlin Calls It ‘Threat To Russia’s Security’

    Shida kubwa ya huyu mohamed ni kuwa hajui kingereza, kwa hiyo ana bahatisha tu mjadala unavoenda anadandia Hajui haya maneno yametamkwa na putin mwenyewe na sio opinion ya mwandishi, mwandishi amemnukuu tu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mke hataki mimi ninunue nguo mpya?

    Tyson mwenyewe anasumbuliwa na mkewe itakuja mm? Bosi wako kazini unaemuogopa sana hata kufikia hatua ukimuona ile asubuhi unatetemeka si ajabu nyumbani kwake anapigwa makofi kabisa na mkewe na kuamrishwa Ndoa ni kitu tofauti na ubaunsa si swala la uvulana au uanaume Siku ukibalehe na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mke hataki mimi ninunue nguo mpya?

    Wadau nawasalimu, Hivi karibuni nilikuja kugundua sina nguo kabisa, inafika asubuhi au wakati wa kutoka natafuta nguo kila nayoshika mkononi either inanibana au imechanika kabisa hivyo najikuta narudia nguo za Jana ama Juzi. Kutokana na tatizo hilo nilipopata pesa nikaenda nikanunua nguo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma shemeji akijisaidia nje, ameumbika, kanichanganya vibaya

    Wadau habari Juzi nilitoka job mapema sikua najisikia vizuri, nilipofika home nikalala muda mrefu sana, nilipoamka jioni sana nikaenda nyuma ya nyumba kujinyoosha nashangaa kumkuta shemeji mdogo wa wife kachuchumaa chini anakojoa wakati ndani choo kipo Hata hivyo kilichonivutia zaidi ni...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kamwambia rafiki yake kuwa mimi nina kitambi eti ananichuna tu

    Hivi gesti za elfu tano bado zipo?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kamwambia rafiki yake kuwa mimi nina kitambi eti ananichuna tu

    Hamna mwanamke hapo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Huu ni uongo uliotukuka, dada wa watu katushika wanaume pabaya, sasa watu wanaanza kumsingizia vitu vya uongo Hebu jiulize swali, dada ameleta uzi asubuhi ya 31/12/2015 akielezea life yake kwa majivuno, halaf masaa machache mbele ajisahau aseme yy ni muuza simu kwenye pm, haingii akilini...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Na wewe unaamini kabisa, kwamba mtu anaweza kuingilika na mtego wa kitoto kama huo, vijana wa jf ni waongo sana, dogo anatafuta kiki kwenye uzi wa watu, thats all
  12. N

    JamiiForums Tanzania Almanusura mke wangu anibambikie mtoto wa nje

    Pole sana mkuu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

    Umeshazeeka
  14. N

    JamiiForums Tanzania Almanusura mke wangu anibambikie mtoto wa nje

    Mungu alikua upande wako
Back
Top Bottom