Recent content by navigator msomi

  1. navigator msomi

    Huu mwaka nimeutimba sijui hata nafanyaje?

    Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu .. Sasa nilivokuja hapaa, akawa amenicheki akaniambia yeye yuko moro...ni muda mrefu sana hatukua tumewasiliana kama...
  2. navigator msomi

    Naenda kununua bati za king líon kutokana na bajeti yangu nipeni ushauri kabla sijatindinganya mambo...

    Wadau,ndio hivo bajeti yangu inaniruhusu humo..sijajichanganya kweli kuhusu kupauka mapema na ubora wake katika kuvujishaa
  3. navigator msomi

    Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Kampuni gani nzuri ya bati ukiachana na alaf na kiboko
  4. navigator msomi

    Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Jamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana
  5. navigator msomi

    Nikapige kozi gani ya afya nimechoka kula chaki

    Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 . Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
  6. navigator msomi

    Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Arostoo,hivi hkuna kigongo kingine kikali kama hiki kwa sasa tukapotezee wakatii
  7. navigator msomi

    Inakuaje mtu umehama kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine then urudishwe ulipotoka?

    Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje?
Back
Top Bottom