Huu mwaka nimeutimba sijui hata nafanyaje?

Inawezekana ukawa unapoteza mke wa maana sana kwa sababu ya vimini.
Nakushaurh yafuatayo

1. Acha ujinga

2. Lea mkeo na mtoto wako (acha kutengeneza single mother pamoja na watoto wa mitaani kwa sababu za kipuuzi

3. Achana na chemistry ya darasani, hapo tayari mmeisha compose family acha kuidecompose, mmeisha bond tayari.

4. Kama wazazi wako hawakuishi aina ya maisha unayotaka kuishi basi acha kuleta laana katika familia, na kama wameishi kwa kutengana tengana hvo jaribu kuondoa hyo laana katika lango lako kwa kuepuka upuuzi huo.

5. Sikujui na hunijui, acha upumbavu na acha utoto, huyo mwenye kemia unayemtafuta akishndwa kukupa mtoto utadhani mtakuwa watu au mtakuwa organic chemistry.

6. Kaeni chini mpange maisha jinsi ya kuendesha familia yenu.

KAMA UNA KINGA'SITI HUKO, MWAMBY AJIHESHIMU MAANA UNA FAMILIA.

MWAKA WAKO NI WA BARAKA SANA
bahati mbaya sana ni kwamba jamaa hawezi kuchukua ushauri wa maana kama huu!
 
Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..

Sasa nilivokuja hapaa, akawa amenicheki akaniambia yeye yuko moro...ni muda mrefu sana hatukua tumewasiliana kama miaka minne hivi tangu tumalize chuo.

Alivonicheki plus upweke na upwiru wa ugeni hapa dar ikabidi nimuite walau nipunguze upwiruu..

Alivokuja nimepiga hiyo cku karudi job kwake baada ya wiki tatu ananiambia ana mimba,nikasema sio shida

Alivokaribia kujifungua akabeba baadhi ya vyombo akaja gheto kuviacha ili aende kwao kujifungua..

Sasa alivojifungua kakaaa kama miezi minne bila mm kumfuata maana mategemeo yake kwamba nimfuate tuje tuishi pamoja...

Alivoona simfuati akaamua afunge safari na mabegi yake yote aje kwangu bila taarifa..alivofika usku nikashindwa mfukuza ikabidi nimpokee

Sasa shida inakuja hataki kutoka rudi kwao, mm moyo wangu hauko kwake na ninaona hata tukioana hatuwezi kuwa na chemistry nzuri..

Nishajaribu kila mbinu yakumtoa ila nimeshindwa cjui hata nifanyaje wakuuu...aaaaah nachoka mwenzenuu
Umeyatimba Braza, umeshachafua Hatima yako yote ya maisha kwa sababu ya ngono ya siku moja.

Vyovyote itakavyokua umeamua kuichafua furaha ya maisha yako kwa tamaa zako. Tayari una mtoto wa nje ya ndoa hata ukimfukuza hilo doa hutalifuta maishani mwako hadi uzeeni

Wewe mwanzo unasema hakua chaguo lako ukamtema, lakini waliokuwa chaguo lako hukuwaona ukarudia tena kumwita?

Ndani ya miaka miine mmeachana hujapata Chaguo lako ukarudi tena kumkula? Acheni kuchezea maisha ya wengine na hisia zao. We ni mkatili na hujali kabisa hatima ya Wanawake.

Hapo unatafuta njia ya kumfanya single maza, unajua ataishi maisha gani? Baada ya wewe kumzalisha thamani yake kwa wanaume wengine inashuka, ataishia kuchapwa na wahuni wa mtaani tu na hawatamuoa.
Subiri ukizaa watoto wa kike huko mbeleni wafanywe hivi utaionjoy uchungu wake. Muda ni Mwalimu hii comment yangu utaikumbuka tu
 
Inawezekana ukawa unapoteza mke wa maana sana kwa sababu ya vimini.
Nakushaurh yafuatayo

1. Acha ujinga

2. Lea mkeo na mtoto wako (acha kutengeneza single mother pamoja na watoto wa mitaani kwa sababu za kipuuzi

3. Achana na chemistry ya darasani, hapo tayari mmeisha compose family acha kuidecompose, mmeisha bond tayari.

4. Kama wazazi wako hawakuishi aina ya maisha unayotaka kuishi basi acha kuleta laana katika familia, na kama wameishi kwa kutengana tengana hvo jaribu kuondoa hyo laana katika lango lako kwa kuepuka upuuzi huo.

5. Sikujui na hunijui, acha upumbavu na acha utoto, huyo mwenye kemia unayemtafuta akishndwa kukupa mtoto utadhani mtakuwa watu au mtakuwa organic chemistry.

6. Kaeni chini mpange maisha jinsi ya kuendesha familia yenu.

KAMA UNA KINGA'SITI HUKO, MWAMBY AJIHESHIMU MAANA UNA FAMILIA.

MWAKA WAKO NI WA BARAKA SANA
Kumbe we jamaa ukiachana na uchawa unakuwaga na akili.

Hii inaitwa Damage control.

Tunamshauri asitake mambo mengi, amchukue kwa moyo mmoja kabisa aleee familia, mtu kamaliza chuo miaka 4 iliyopita mpaka leo bado hajielewi tu
 
-Nina uhakika ukiachana na unyumbu utajua kuwa amani ni jambo la msingi na hauwezi pata haki mahali ambapo hakuna amani!
-Na ukiachana na unyumbu utajua kuwa hata waliokuwa wanachoma vituo vya mafuta na kula chakula cha shilole eti walikuwa wanatafuta katiba, hakika utabaini kuwa mle hapakuwemo na katiba bali wale walikuwa ni vibaka
 
Kuna kabinti niliwai kukipiga sound miaka hiyo kikazama King,
Mi nilikua desperate tu demu wangu alinitosa na wamefanana shape, uhuru
Peleka gheto komaa kukitafuna ngoma haizami,kumbe bikra.
Kakarudi tena kitu ndani tunatafunana mpaka basi.
Kalikua poa kapole kweli,
Mi nilikua yale masharobaro haswa
Bata, nabeba mianti iliyokomaa kweli kweli na vibinti vya mtaa napangusa tu.
Dah niliona tu huyu mtoto hanifai,
Nikajaribu kumwambia kistaarabu tu aloo mi naona hatuendani tuachane.
Mtoto kalia kagoma kuachana,kasema km vp niko tayari kuwa housegirl wako😥,
Fanya mambo yako siku ninakuja utanikuta hapa ,nimefanya kila kitu
Nikaona poa we njoo hizo siku ilikua mara 3 kwa wiki.
Nikirudi n
iko bwii najikuta nishamlamba
Kwani muda ulienda basi,
Mimba hiyo,
Katoe demu ndo kwanza kaenda kwa aunt yake Tanga.
Kiutani Tuna binti now anakaribia 30 years
 
Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..

Sasa nilivokuja hapaa, akawa amenicheki akaniambia yeye yuko moro...ni muda mrefu sana hatukua tumewasiliana kama miaka minne hivi tangu tumalize chuo.

Alivonicheki plus upweke na upwiru wa ugeni hapa dar ikabidi nimuite walau nipunguze upwiruu..

Alivokuja nimepiga hiyo cku karudi job kwake baada ya wiki tatu ananiambia ana mimba,nikasema sio shida

Alivokaribia kujifungua akabeba baadhi ya vyombo akaja gheto kuviacha ili aende kwao kujifungua..

Sasa alivojifungua kakaaa kama miezi minne bila mm kumfuata maana mategemeo yake kwamba nimfuate tuje tuishi pamoja...

Alivoona simfuati akaamua afunge safari na mabegi yake yote aje kwangu bila taarifa..alivofika usku nikashindwa mfukuza ikabidi nimpokee

Sasa shida inakuja hataki kutoka rudi kwao, mm moyo wangu hauko kwake na ninaona hata tukioana hatuwezi kuwa na chemistry nzuri..

Nishajaribu kila mbinu yakumtoa ila nimeshindwa cjui hata nifanyaje wakuuu...aaaaah nachoka mwenzenuu

Mapenzi ni msisimko tu wa muda mfupi. Kama ana kiheshimu, anakujali hivyo vinatosh

Mapenz ni hisia za muda mfupi sana. Kama ana kuheshimu, ana kujal. Wek ndani. Onyo usitujazie masingle mother mtaan. Beba mzigo wako
 
-Nina uhakika ukiachana na unyumbu utajua kuwa amani ni jambo la msingi na hauwezi pata haki mahali ambapo hakuna amani!
-Na ukiachana na unyumbu utajua kuwa hata waliokuwa wanachoma vituo vya mafuta na kula chakula cha shilole eti walikuwa wanatafuta katiba, hakika utabaini kuwa mle hapakuwemo na katiba bali wale walikuwa ni vibaka
Acha kuongea usenge wewe chawa. Amani inatoweka baada ya haki kukosekana. Wewe na mashehe wenu ubwabwa mmejaza mavi tu kichwani. Eti bila amani utaipataje, hoja ya kipumbavu kabisa. Kwani mkitenda haki amani itapoteaje? Nipe sababu kwa nini amani itoweke pale penye haki? Lakini obvious haki ikikosekana lazima amani ipotee. Pumbavu zenu wote mnaopindisha ukweli kwa maksudi.
 
Ili umpige matukio vizuri usimuonee huruma?

Huku nje tunasema mwanaume akiwa hakupendi anakuoa
Wanaume wachache sana wanawaoa wanawake wanaowapenda.
mwanamke akigundua unampenda sana hapo utajua kuimba singeri,kucheza amapiano na utafanyishwa kazi ambazo zitasababisha upoteze uanaume wako katika jamii. Na utakuwa huna cha kumfanya,si unampenda?
 
Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..

Sasa nilivokuja hapaa, akawa amenicheki akaniambia yeye yuko moro...ni muda mrefu sana hatukua tumewasiliana kama miaka minne hivi tangu tumalize chuo.

Alivonicheki plus upweke na upwiru wa ugeni hapa dar ikabidi nimuite walau nipunguze upwiruu..

Alivokuja nimepiga hiyo cku karudi job kwake baada ya wiki tatu ananiambia ana mimba,nikasema sio shida

Alivokaribia kujifungua akabeba baadhi ya vyombo akaja gheto kuviacha ili aende kwao kujifungua..

Sasa alivojifungua kakaaa kama miezi minne bila mm kumfuata maana mategemeo yake kwamba nimfuate tuje tuishi pamoja...

Alivoona simfuati akaamua afunge safari na mabegi yake yote aje kwangu bila taarifa..alivofika usku nikashindwa mfukuza ikabidi nimpokee

Sasa shida inakuja hataki kutoka rudi kwao, mm moyo wangu hauko kwake na ninaona hata tukioana hatuwezi kuwa na chemistry nzuri..

Nishajaribu kila mbinu yakumtoa ila nimeshindwa cjui hata nifanyaje wakuuu...aaaaah nachoka mwenzenuu
Huku kwenye Ndoa hakuna chemistry kama ana vigezo vya msingi na na wew ni mtu wa kuoa/familia oa

Wanajifanyag waananz na chemistry wapo na mathematics ya division now
 
Kama mtoto ni wako we ishi nae tu kibingwa ila muweke kwenye angle ambayo haelewi kama ameolewa au hajaolewa.

Atoto hua anasema kila mtoto huja na sahani yake
 
Back
Top Bottom