Recent content by Nautico

  1. Nautico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matukio ya vijana kujidhalilisha ,kuuza utu wao yanazidi kushamiri.

    Kifusi wewe bonge una shida sana ha ha ha haa,njaa kali lakini kujifanya kijani mara usalama uchwara!!
  2. Nautico

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa ku share nae biashara

    Sahihi mkubwa
  3. Nautico

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa ku share nae biashara

    Asante kwa ushauri,akipatikana tunaandikishana kisheria makubaliano yetu!
  4. Nautico

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa ku share nae biashara

    Habari za wakati huu wana jukwaa Nahitaji kupata mtu kwa ajili ya kufanya nae biashara joint kwenye shughuli za uchimbaji Nina uzoefu wa miaka 2 kwa sasa,nikiwa namiliki duara kadhaa,miaro ikiwa na crush(garasha),mashamba yenye uwezo wa kuchimba Napatikana mkoa wa Mara wilaya ya Bunda...
  5. Nautico

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    [emoji849]
  6. Nautico

    JamiiForums Tanzania Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Kule ni kazi kazi,lugha kingereza Miezi6 hujaonana na manzi upo mashambani,ila ukitoka ni Sawa na pension ya mwalimu hapa
  7. Nautico

    JamiiForums Tanzania Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Wow,hongera na pole nyingi mkuu,.....nimesoma yoote nimejiona junior kwenye hustle zangu Japo nipo kwenye mchakato wa kuzamia Korea kusini nikachakalike Hongera mwanangu.
  8. Nautico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba na mwana wanapoacha majonzi katika jiji la Washington DC

    Nenda fb muone Dr Chris Cyliro Zote ulizopost ulisubiri amalize kuandika na wewe unaleta Tangu ya kupotea kwenye kisiwa na sasa kaanza kusimulia nyingne.
  9. Nautico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba na mwana wanapoacha majonzi katika jiji la Washington DC

    Ka copy fb kwa dr Chriss Cyliro Ndiyo mwandishi wa hizi makala,hata story iliyopita mwandishi ni yuleyule Huyu wa humu jf yeye anabeba kama ilivyo analeta huku na kujidai ni yeye!!
  10. Nautico

    JamiiForums Tanzania Nipo safarini naenda Bukoba kikazi. Mwenye kujua lodge au hotel nzuri tafadhali

    Chakula pia kipo na bei ni za kawaida sana
  11. Nautico

    JamiiForums Tanzania Nipo safarini naenda Bukoba kikazi. Mwenye kujua lodge au hotel nzuri tafadhali

    Kama una budget nzuri nenda Kanoni hotel bei inaanza na 30k hadi 60k Hiyo chumba ya 60k ingekuwa hapa Dar hata 300k ungechajiwa Nb: Hawauzi pombe wala hakuna mziki, vyumba vizuri vina kila kitu utulivu ndiyo mahala pake Lakini mtaa ilipo Kanoni zipo hotels na lodge nzuri Sana pia
  12. Nautico

    JamiiForums Tanzania Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

    [emoji848]
  13. Nautico

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    [emoji106]
  14. Nautico

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    [emoji106]
Back
Top Bottom