Recent content by nauma

  1. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nyie watu wa magari mnajua ni raha gani watu wa pikipiki wanazila?

    Naona unaniongelea mimi kabisaa na haya marashi mwilini[emoji1]
  2. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nyie watu wa magari mnajua ni raha gani watu wa pikipiki wanazila?

    Nipo Tanga nicheki kwa namba hii 0788507074 si ile ya zantel
  3. nauma

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Ipo Sokoni Honda XLR 250 ipo na hali nzuri na bei ya kawaida karibu tuzungumze biashara 0788507074
  4. nauma

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Honda XLR 250 inauzwa

    Nawaletea mzigo huu 250 XLR Honda, kwa Bei Kitonga alietayari na anicheki #0788507074
  5. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nyie watu wa magari mnajua ni raha gani watu wa pikipiki wanazila?

    Kama hujapata mzigo nicheki nikuheshimishe
  6. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nyie watu wa magari mnajua ni raha gani watu wa pikipiki wanazila?

    Oya ninayo 250 XLR
  7. nauma

    JamiiForums Tanzania Jiji la Tanga na mkoa kwa ujumla mchawi wake ni nani?

    Duuuh[emoji13] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. nauma

    JamiiForums Tanzania Jiji la Tanga na mkoa kwa ujumla mchawi wake ni nani?

    Ahahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nauma

    JamiiForums Tanzania Jiji la Tanga na mkoa kwa ujumla mchawi wake ni nani?

    JIJI LA TANGA NA MKOA WAKE KWA UJUMLA MCHAWI WAKE NI NANI? Ukiwa hujawahi fika katika mji huu ukisikia stori zake unaweza kuvutika hasa katika mpangilio wa barabara, suala la kusadikika la mapenzi, vyakula, matunda kila haja, sasa hebu jaribu fika katika jiji hili na manispaa ya kihistoria...
  10. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Hii stori inaonekana ya mwaka huu
  11. nauma

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kumpa pesa mwanamke yeyote mwenye shida ya pesa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Fabivic njoo umuadress huku
  12. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba au kombora?

    Hawa ndio wanachange ID kama wanachange Nguo[emoji23] [emoji23] Mkuu umesanuka kitu kipya na kizuri
  13. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba au kombora?

    Fab njoo ututatulie hili suala hapa kuna kigegezi
  14. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba au kombora?

    Hapa hata mimi sijaelewa!! Alimtukana kwa kumtaja jina au Alisema manebo ambayo hata Wazee wa Forodha hutamka yanayosadikiwa kuwa ni makali
  15. nauma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba au kombora?

    Hasa wanaume wa Dar[emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom