Inawezekana aliandika ili watu tusiseme vip??? Ila kwa Wakristo tunajua kuwa hata baada ya YUDA KUCHUKUA VIPANDE VYA PESA bado alikuja na wauaji na akambusu YESU kama ishara ya upendo! Tafakari
Sifa zingine umezitoa vzr ila No.4 hiyo sio kweli kwamba anapasuka wapo wanaotaga mayai na wapo wanaozaa kawaida bila kupasuka in fact hyo huwaga ni just story its not fact! Tafuta kinyonga anayeitwa Jackson Chamilion utaelewa zaidi
Nimesikiliza vzr Lissu ni fire in fact hachafui nchi wala hasemi vibaya Rais wetu ila asema fact! Tuache kutafuta visababu et oooh anachafua nchi hamna[emoji23]
Bnafc mm nasema sisi hasa wabongo tunafuata sana mkumbo afu tunajifanyaga tunajua Bible kuliko hata hao walioileta, ila ukweli hata Yesu mwenyewe hakuwahi kuishelekea kwa sababu alijua chanzo chake ni cha kipagani, hata sisi tuoazimisha siku ya kuzaliwa bado tunakuwa tunatukuza imani za...
Bnafc mtu km zitto apongezwe kwa sababu deni lolote ni la Watanzania wote na kuna utaratibu wa kukopa mfno, bajeti imeishapitishwa na Bunge sasa wewe km serikali unaongeza unatoa wapi mamlaka nje ya bajeti? Pili unafungia “BUREAU za kubadilishia hela za kigeni eti zinashusha thamani wakati ww km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.