Wanawake ni viumbe wa ajabu.

Wanawake ni viumbe wa ajabu.

Mwanamke ana uwezo wakuona jambo flani au kitu flani mapema hata kbl hakijatokea...uwezo huo mwanaume hana.
Mf..umerud kutoka kazini na umeongozana na rfk ako flani,lets say wa kiume,na huyo rafiki ako ni mgeni kbs kwa mkeo yaani hajawahi kumuona kbs.Baada ya mgeni kuondoka mkeo anakuambia "Mume wangu huyu rafiki ako naona km sio mtu mzuri,hebu punguza ukaribu nae,naona tu ana shida "..

Mmh hilo sio jicho ni hisia(instinct) sio jicho
 
umeandika mengi ya kushangaza kuhusu wanawake, lakini zaidi ya uwezo wa kuzaa na kuwa mama zetu bado wanawake wanayumba sana..hawafikii hata robo ya machale tuliyonayo wanaume...sitegemei povu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nilitaka niteme povu lakini umeniwahi


Hivi unakumbuka Adamu alichoambiwa na Mungu siku ile bustanini......ishini nao kwa akili maana yake ni hivi akili zetu zina nguvu kuliko zenu tumieni akili la sivyo hamtatuweza katu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake hawaeleweki wapo kama virus wanabadilika kila sekunde.
Hata wao wenyewe hawajui nini wanataka kipi hawataki.
Yaani ni hatari tupu ishi nae kwa akili
 
Wanawake hawaeleweki wapo kama virus wanabadilika kila sekunde.
Hata wao wenyewe hawajui nini wanataka kipi hawataki.
Yaani ni hatari tupu ishi nae kwa akili
Hawaeleweki akiinama INAKUJA NYUMA ,akisimama INAKUWA CHINI ,akilala chali INAKUWA MBELE, akilala ubavu INAKUWA PEMBENI , akilalala kifudifudi INAKUJA NYUMA TENA , akichuchuma inaibukia KIMSHAZARI KWA MBELE basis tafarani
 
Mkuu huo uajabu wao ndo unanifanya niwapende wanawake
 
Mwanamke anaweza japo ni wachache kumuumiza mwanamme ki hisia ...
ila mwanamme anamuimiza mwanamke physically na immotional!

Nadhani siku wakijinitambua hawa wanawake .... ..mwanamme atakuwa shidani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa namkubali sana.. na alishawahi kusema hivi..
IMG_20190218_091341.jpeg
 
Pamoja na yote kwanini hawajawia kujua huyu mwanaume wa kweli katika maisha yake mpaka kutelekezwa au kupewa mimba isiyotalajia au sijasoma vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom