Agriculture inalipa sana mkuu japo watu wengi wanazidharau, vijana wengi mikoani wametoka kwa kilimo japo huku mjini wanaleta usharobalo kwa vihela vidogo wakati wakienda na japo 2mil unaweza ukatoka na income ya kutosha
Bwiru mbona hzo gorofa 50 umedanganya coz makazi ya bwiru kwa magorofa hazifiki 60 nyumba nyingi ni za chini but nzuri sasa hivi ndio wameanza kujenga magorofa kule
Upo maeneo gani mkuu b'coz kuna mageti yapo mbali sana na nyumba inahitaji kutembeza cable ndefu sana au ya kwako ipo umbali gani! But ingekuwa ni busara tukaongea kupitia hzo contacts nilizoweka hapo
Ni wakati wa kulinda nyumba yako, ofisi yako kwa popote pale ulipo. Natron co.Ltd itakufungia security system ya kisasa ambayo utaweza kutrack kwa kutumia mobile phone yako. Wasiliana nasi kwa simu 0656540271 or 0682220703 or tembelea website yetu www.natron.co.tz kwa maelezo zaidi

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.