Natron Ltd
Member
- Feb 11, 2016
- 56
- 18
Kwa ulinzi wa nyumba yako, office, kiwanda, shule au shamba ya mifugo tutakufungia camera za ulinzi (cctv camera) ambazo zitakuwa na uwezo wa kudisplay matukio yanayotokea katika eneo lako na kurecord kwa matumiz ya baadae. Hii itasaidia kupunguza wizi mahala husika na kuongeza kipato kwa mfano ofisini au kiwandani itawafanya wafanyakazi waongeze juhud ya kufanya kazi kwa kuogopa kuonwa.
Ufunguaji wa camera na bei nategemea na ukubwa wa eneo husika ila kwa kwa nyumba za kawaida bei huwa ni kama ifuatavyo:
=4camera, 4-CH DVR bei ni 2,300,000 (Hapa kila kitu kuanzia vifaa mpaka display tutanunua sisi)
Ila kama unazo vifaa unataka tu kufungiwa gharama ni 375,000 kwa Dar es salaam.
=8 camera, 8-CH DVR Bei ni 3,500,000 (Hapa kila kitu kuanzia vifaa mpaka display tutanunua sisi)
Kama unataka kufungiwa tu gharama ni 500,000.
NB: MICHANGANUO YA VIFAA TUTAKAVYOTUMIA TUTAKUPA KWA AMBAYE ATAKUWA NA UHITAJI
wasiliana nasi 0656540271 or 0682220703