Recent content by Natokea Kanda Maalum

  1. Natokea Kanda Maalum

    Msaada: Dawa ya mtu kuacha pombe

    Boss naweza kupata nakala ya hiki kitabu
  2. Natokea Kanda Maalum

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kama Kuna mfanya kazi mwenzako humu kashajua tayari Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
  3. Natokea Kanda Maalum

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Kwenye story ya kweli hapo hapana..... Kuna sehemu anasema Merry kafariki 2012..... Mara huko kaenda 2016.... 2012.... Anaizungumzia Alteza na Alphard bongo hapana zilikuwa bado..... Na kingine uwezo wa kukariri miji na majina ya mito kote alikopita siyo kweli.... Unless Kama Kama alitembea...
  4. Natokea Kanda Maalum

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nenda Miami kuanzia saa sita usiku Hallday Muda wowote ule..... Kuna bar ziko around mlandege hapo..... Mfano Kahama Pub na Kigoma Pub Kuna mipaka ya kutosha hapo....... Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
  5. Natokea Kanda Maalum

    Mpaka wa Zanzibar uko Bagamoyo au Baharini?

    Kaka tufanye maamuzi Magumu wakati namba moja anatokea KIZIMKAZI huko kwao...... Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
  6. Natokea Kanda Maalum

    Hivi kwanini historia inapindishwa?

    Kweli kabisa uko sahihi yanga ni ya mwisho kwenye Kila kitu.... Hakuna kipya inafanya... Simba Iko so ahead of time Source:Chuki
  7. Natokea Kanda Maalum

    Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

    Kuna moja niling'ang'ania kulala kwenye chumba cha mpangaji wetu..... Hata sijui nilifikaje Wana upande wao tunaupande wetu.... Maza hakuwepo.... Halafu huyo mpangaji mke wa mtu.... Na mumewe huwa hatuelewi anafanya kazi gani ila Dodoma Walinichukua kunipeleka kwangu.... Naamka asubuh missed...
  8. Natokea Kanda Maalum

    Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

    Ila kiukweli mkuu Mungu atusaidie tu peke yetu hatuwezi..... Huu uraibu yataka moyo kuacha Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
  9. Natokea Kanda Maalum

    Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

    Kukataa kampani ya wana walevi ili uache huo ni udhaifu..... Ushujaa ni kuacha pombe ukiwa na Hela na uko bar na rafiki zako wewe unakunywa mahi wao unawanunulia pombe ukifanikiwa kuwa n hiyo courage umetoboa.... Sasa mkuu umeacha pombe unarudi home saa Moja jioni kufanya Nini? Kaa sehemu na...
  10. Natokea Kanda Maalum

    Nakubali Yanga ni ya kwanza kucheza Nusu Fainali Confederation, nakataa Yanga sio Bingwa mara 29

    Tayari uzi Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
  11. Natokea Kanda Maalum

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Stella(Yohana kisunga) yuko mlowo ni dereva wa Lori Kesheni mwalimu nadhani Songea Amosi kwao Kyerwa Bukoba(Bwatota) ni bodaboda bukoba huko... Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
  12. Natokea Kanda Maalum

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kitta Mwaipungu Kibona etc Msakati Wandewa We jamaa tutakuwa tunajuana Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
  13. Natokea Kanda Maalum

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Me ligendi mkuu though nastaafu sasa..... Darasa la Vwawa day 2010 hawataki hata kunisikia nilichakaza nusu ya darasa nikiwa mdogo sana....[emoji3][emoji3] Tutahookup mzee..... Hatuwezi kosa pisi mbili tatu Ulifika masaki carnival? Iko sheli ya chaula kwa nyuma? Sent from my SH-01K using...
  14. Natokea Kanda Maalum

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kamji kadogo alafu kibunda kingi..... Kahawa plus boda ya Tunduma umeuchangamsha sana huo mji Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
  15. Natokea Kanda Maalum

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kama ni mtu wa mitungi ni maeneo sahihi sana Hukosi kampani Utakunywa pombe hata Kama huna pesa Vijana wa pale ni Bata from Monday to Monday nadhani Hali ya hewa inachangia pia Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom