Recent content by nation

  1. nation

    DED Hanang na watu wako wa ardhi tendeni haki

    Habari wanaJF, Ni jambo la kusikitisha sana lililotokea na linaloendelea kutokea ndani ya mji mdogo wa Katesh kuhusu malipo ya pango la ardhi. Kuna baadhi ya watu hawadaiwi lakini wamebambikiziwa madeni makubwa ya pango la ardhi. Wengine wa ploti za nyumba za kuishi lakini yamebedilishwa kuwa...
  2. nation

    nimesoma standing order ya watumishi serikalini inayoonyesha annuaal increment ya mwaka 2009

    INCREMENTS E.8 General: An increment is an increase of salary within salary scales in which the prescribed amount which is granted annually to holder of posts on incremental scales of salary until the maximum of the scale is reached. In all cases information obtained through performance...
  3. nation

    William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

    aende kwanza jela huyo. umekaa na pesa hizo zote miaka 12 hakuna hata riba?
  4. nation

    Ninatafuta kitabu kinachoitwa "Nyuma ya Pazia"

    Aneifahamu naomba anielekeze kinapatikana wapi nikisome, Kina ujumbe mzito sana.
  5. nation

    Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

    wapendwa wana jf ninamajonzi makubwa sanaa moyoni mwangu kuwa tanzania ninayoipenda sasa nimeichukia.nikimbilie wapi ili moyo wangu upate amani. nilisikia bungeni viongozi wetu wanalalamika juu ya usalama wao. sisi watoto wa makapuku tulalamike wapi. mungu tusaidie maana hatuna pakulilia zaidi...
  6. nation

    Mwili wa binadamu kuchomwa moto

    usiingilie utamaduni wa watu.
  7. nation

    TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

    ma senior wetu jamani tupeni hiyo namba angalau turushe rambirambi zetu
  8. nation

    TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

    R.I.P mama. pole ndugu yetu kwa kumpoteza mama mzazi. jipe moyo kazi ya mungu haina makosa
  9. nation

    GWAJIMA: Mimi ndio chanzo cha Nape kuondolewa uwaziri

    nani alikuwa nyuma ya makonda?
  10. nation

    Kilimanjaro: Ajali mbaya ya Basi la Freys la Arusha-Tanga

    poleni kwa ajali. mungu awape uwepesi wa kupona kwa wale wenye majerah.
  11. nation

    Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    hongera TLS hongera TUndu lisu kwa kisindo kikubwa hicho. sasa dola la sheria umeishika na tunahitaji mabadiliko ya sheria za tanzania. asante e mungu kwa kuisikia kilio chetu
  12. nation

    UKARABATI WA BARABARA KUTIKA KATESH KWENDA HYDOM

    hivi ma enginear mnapate muda wakukaa ofisini? kazi serilali zinaharibika kwa kiasi kikubwa hivi afu baada muda mfupi mnaanza kutenga fedha tena za ukarabati. acheni huo ushenzi tokeni maofisini mkafanye kazi. msiwaache makandarasi wakajifanyia kazi kama wanavyopenda lazima muwaelekeze.
Back
Top Bottom