The Good thing ni kuwa LOWASA Hana cha kupoteza!! he is very Rich,
Jambo lingine, ni kuwa anaweza kurudi CCM tu, wala hakukosana na mtu, na mliona jinsi ambavyo Campeni zake zilikuwa za kistarabu kabisa, hakutukana mtu yeyote, wala hakuwasema wezi wenzake aliokuwa nao CCM.
Yeye URAisi ulikuwa...