Recent content by Nathan06

  1. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Niliagiza mzigo kipindi cha covid ilipoanza, haujawahi kufika mpaka leo, sijaagiza tena😀 ila kabla ya covid uagizaji ulikuwa poa sana mizigo yangu yote ilifika.
  2. Nathan06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi pekee nateseka na mapenzi?

    Umeshamla mkuu?
  3. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Ni speaker yenye quality nzuri sana, kwangu ni the best one. Pia unaweza kucheck review zake Youtube. Link yake kwa Aliexpress👇👇 Online Shop Anker Soundcore Motion+ Bluetooth Speaker with Hi-Res 30W Audio, Extended Bass and Treble, Wireless HiFi Portable Speaker | Aliexpress Mobile_en title
  4. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Shukran sana Mwl. Nimeupata mzigo wangu ukiwa salama kabisa, God bless you🙏🙏
  5. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Ebola imeingia Tanzania?

    Nikiliona hili tangazo la dalili za Ebora ITV napata hofu zaidi. Mungu atunusuru.
  6. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Sisi waafrika ni wajinga wa chakula

    Tatizo umeishia kulaumu tu, toa na mwongozo wa chakula bora ni kipi.
  7. Nathan06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana unaanzaje kupiga Punyeto kwa sasa na utitiri huu wa wanawake

    Sio kila anaepiga nyeto hana dem
  8. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa data za intaneti tiGo ni aina mpya ya wizi, ufisadi, na ujambazi

    Sio tigo tu, mimi nilikuwa voda wakaanza kunifanyia ujambazi,ukiwauliza wanasema ni kwasababu natumia 4G UPUUZI, kwann mwanzo haikuwa hivyo na nilikuwa natumia hiyohiyo 4G?? Saiv nimehamia Halotel kidogo wapo vizuri.
  9. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Headphone original inauzwa

    😂😂😂
  10. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    😂😂
  11. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Subiri bac mkuu mechi haijaisha😂😂😂
  12. Nathan06

    JamiiForums Tanzania Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Subiri bac mkuu mechi haijaisha😂😂😂
Back
Top Bottom