Tetesi: Tukio la kijiografia la mwezi mpevu sana (Supermoon) litatikea Nchini Tanzania siku ya Alhamisi tarehe 7/5/2020 saa 13:45

Hadi shule zifunguliwe idadi ya wajawazito itaongezeka. Kuna kadenti yuko kidato cha 4 juzi kati kapimwa ana mimba ya wiki 4.
Mm nawafaham watatu tayar wana mimba yaan had corona iishe watarudi nusu..Vinashobo balaa
 
Inafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine.

Tukio hili huambatana na kupewa na kujaa kwa maji, tsunami na milipuko ya kivolkano ingawa athari hizi bado zinafanyiwa tafiti zaidi.
Yaweza kuwa chanzo cha ziwa Victoria kufurika kuliko kawaida. 🤔
 
Binadamu wagumu sana kusoma alana za nyakati, mvua zinaendelea huko ukanda wa maziwa mkuu kupelekea ziwa victoria kujaa maji mpaka kuleta mafuriko bado hamjaelewa kinachoendelea?

Kuna jamaa mmoja ananipa habari kutokea sijui ndo wapi huko majita mkoani Mara, anasema maji ya ziwa yameongezeka mpaka kufika eneo ambalo toka kuumbwa kwa dunia hawajawahi kushuhudia.
 
Binadamu wagumu sana kusoma alana za nyakati, mvua zinaendelea huko ukanda wa maziwa mkuu kupelekea ziwa victoria kujaa maji mpaka kuleta mafuriko bado hamjaelewa kinachoendelea?

Kuna jamaa mmoja ananipa habari kutokea sijui ndo wapi huko majita mada, anasema majita yameongezeka mpaka kufika enrolled small toka kuumbwa kwa dunia hawajawahi kushuhudia.
unaongea nin mzee mbona sikuelew ebu naomba unyooshe kidogo
 
IMG_4182.JPG


Anga lilkua na mawingu kiac nilizoom camera ila kwa macho ya kawaida haukua mdogo ingawa ni kipindi chake cha kua full


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom