Mke wangu amepata tatizo la kataract ya jicho ghafla kama mwezi mmoja hivi uliopita.age yake ni miaka 30,kihistoria kwao hakuna mwenye hilo tatizo.tulienda ccbrt wakatupatia dawa ili tujiandae kwa operation, tatizo limekuja kuna dada mmoja hapa morogoro alikuwa na the same problem alienda ccbrt...
Mimi damu ilikuwa inatoka puani kama maji nilitumia dawa zote za hospitali na kienyeji lakini sikupona .ila nakumbuka nilipelekwa hospitali ya al hilal enzi hizo pale nyuma ya starlight hotel nilichomwa sindano tano at interval na nikaambiwa nisitumie asprin wala aspro. kipindi hicho nilikuwa...
Maisha yetu,ya watoto wetu, na wajukuu zetu yanategemea uamuzi wetu na matendo yetu ya sasa. Hata humu jf watu ni waongeaji zaidi kuliko vitendo na hata kwenye vitendo tunawaachia watu wachache saana, hatutafika kwa njia hiyo.
Cha kufanya tupange siku moja tunakutana wapi na tuwe wote tuanze...
Mnapojqadili suala muhimu jaribuni kuondoa udini yaani kila mtu anafikiria dini yake.
Hapa ninachokiona ni jazba za watu na dini zao, kuna viongozi wa dini wanashughulika na madawa ya kulevya lakini watu hawataki wanan'gan'gania uislamu.
Jadili madawa ya kulevya utaona dini zote mbili wanahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.