Jamani naomba dawa ya kutibu cataract bila ya operation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naomba dawa ya kutibu cataract bila ya operation

Discussion in 'JF Doctor' started by NASSOR, Nov 2, 2011.

 1. N

  NASSOR Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mke wangu amepata tatizo la kataract ya jicho ghafla kama mwezi mmoja hivi uliopita.age yake ni miaka 30,kihistoria kwao hakuna mwenye hilo tatizo.tulienda ccbrt wakatupatia dawa ili tujiandae kwa operation, tatizo limekuja kuna dada mmoja hapa morogoro alikuwa na the same problem alienda ccbrt kwenye operation last week baada ya operation alipoenda kufunguliwa jichi lilikuwa limeoza lote na wakalitoa kabisa
  naomba mtusaidie taarifa au dawa to avoid operation
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hakuna. Ni surgery tu! Labda hapo ndiyo kuna options,ya C. Extraction ya kawaida na ama ya mionzi!
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Usiamini mambo ya same problem yaani kusikia toka kwa watu wasio watalaamu. Mpeleke maana chances za kuona baada ya upasuaji ni 80%. Huenda pia jirani yenu hakuwa na hiyo cataract. Mifano ya cataract bofya kwenye you tube,utaelewa vizuri tani yako!
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Matatizo ya macho Asali ni bingwa kwa ajili ya macho, Paka asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu ya trachoma, conjuctivits na maradhi mengine ya macho, kila siku paka asali kaika nje ya jicho na ndani ya jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia unyoya au wa kuku au ndege yoyote yule) kufanya hivo asali hupigana na kujilinda na maradhi ya glaucoma.

  Asali pia husaidia kwa matatizo ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya vitunguumaji na asali uchange pamoja upake hii kwa wale wenywe immature cataract. (Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi ) isiyochanganywa na sukari.
   
Loading...