Mnafikiri bila amani nchi hii ingekuwaje?.
Angalieni jirani zetu wa drc.
Ifike mahali muwe na shukrani .
Hebu mniambie mnataka amani ya namna gani?
Kweli alivyofanyiwa lisu si vizuri.
Na kuwahukumu vingozi kwa jambo hilo pia haifai km kuna matatizo tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi...
Lissu alikuwa huko kwa matibabu tu na si vinginevyo, suala la matibabu libaki kuwa hivyo na si kupona na kuanza kupiga misele huko ughaibuni.
Yeye arudi nyumbani kuhudumia wanakura wake, haya mengingine ni kutafuta sababu za kumuelewa vibaya spika wa bunge.
Atapata nini kuanza kulaumu serikali...
Tuache ushabiki hasa tunapozungumzia maslahi ya taifa letu ambalo limepata kiongozi mwenye kuthubutu.Siyo mwoga kuamua mambo. Tatizo la wapinzani hawana jema hata ungefanya mazuri kiasi gani, niya yao ni kutugawa makundi ili tusiwe wamoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.