Recent content by Nasibunduki

  1. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    Wakuu samahani ,hiv milk pasteurizer machine pekee inaeza saidia kuanzisha biashara ya youghut niko mwanza naomba msaada ,nataman kufungua fresh milk and youghut shop
  2. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Habari wakuu samahan naomba kuuliza,na mdogo wangu WA kike kamaliza form four alisoma masomo ya art na kapata four ya 28 ,NAMPANGO wakumpeleka veta akasome motor vehicle mechanics ,swali langu ni je akihitimu mafunzo veta akapata FTC Anaweza kuapply kusoma diploma hapo chuoni kwenu au Hakuna...
  3. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Nahitaji business partners biashara ya dhahabu

    Mzee tiririka kidogo tupate muongozo
  4. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

    Dhahabu VP huko inapatkana tuje tupambane
  5. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona Jijini Mwanza

    We ndo walewale wanaokuja kupiga picha samaki siku ya skukuu,
  6. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Katika hili, jiji la Mwanza halina budi kujifunza kwa Bunda

    Bunda sio mji ni kipleft.......
  7. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Ruby si ndo inasemekan riziman amehodhi eneo lote na wachimbaj wametolewa nduki......
  8. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Tangu ukolon had Leo Hilo joka halijafa Tu 😂😂😂😂😂😂😂😂
  9. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

    Wazo zuri Kamongo Ila ongeza minofu kidogo kuhusu a b c za huu mpango WA mabondo
  10. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Mchele umeshuka Bei, nipo hapa mtaani naona mchele mzuri bei 2600

    VP kuhusu maharage mwanza na dar
  11. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Hapa tuunganishe mitaji mikubwa na wenye mawazo ya biashara

    Hili wazo liko vizuri
  12. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Nina utaalamu wa madini ya Almasi, natafuta mbia mmoja wa kufanya nae biashara hii

    Kwanin USD 2000 na si chin ya hapo ongeza nyam kidg tujilipue
  13. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Biashara ya madini ya dhahabu... fourth season

    Ni kwema wakuu habar za siku tupeane location wapi tufunge karasha maana huku shilalo Kwa SASA njaa ni Kali, material adimu ,Kwa SASA gharama za uendeshaji ni mtiti bin mufilis
  14. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Mrejesho biashara ya madini 'third season'

    Hivi karasha lipi ni zuri hili ball mill crusher au hammer mill crusher nakuna hii jaw crusher naomben msaada hapo
  15. Nasibunduki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda mke wangu anisusie tukiwa faragha

    😂😂😂😂😂Sawasawa mkuu nmekuelewa
Back
Top Bottom