Hapa tuunganishe mitaji mikubwa na wenye mawazo ya biashara

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,313
Kama wengi tunavyojua katika ulimwengu wa biashara, unaweza kukuta mmoja ana wazo zuri la biashara lenye kuleta faida kubwa pengine ndani ya wiki, lakini hana mtaji mkubwa wa kutosha.

Mwingine ana mtaji mkubwa, lakini hana mawazo mazuri ya biashara au michongo ya biashara yenye kuleta maximum profit.

Basi hapa embu katika wazo lako la biashara ulivyofanya mahesabu yako, je faida itapatikana kiasi gani na kwa muda gani na mtaji kiasi gani, huna haja ya kusema wazo lako kama utaona sio ishu sana. Pia uwe muwazi kama utataka partnership katika biashara hio ili mtu akija kukutafuta inbox basi ajue.

NB: mitaji hapa nayozungumzia haswa ni kuanzia milioni labda 40, 50 ....100 na kuendelea.
 
Huu ni uzi mzuri

Mimi nina connections, kazi zipo, ni Agribusiness, shida ni mtaji ama hela ya kufanyia kazi tu.. Kwasababu unalipwa baada ya kuwasilisha mzigo sehemu husika.

Iko hivi
Angalau 200mil, na ukiweka hii within mwezi mmoja tutapata around 20 mil.
Zikipatikana 600 mil itakua vzr zaidi lakini kwa kuanzia 200mil sio mbaya..

Banks zetu wanataka cashflow isome vzr, kuna bank walisema angalau ionekane ilishapita 400 mil KTK acc ndio wangetoa pesa...

Hii kazi ni serious sana tu,
Kama mtu kweli uko serious pls let me know, kila Kitu kitakua wazi..

Spray
 
Tatizo kubwa ni UAMINIFU
 
Ubia unachangamoto zake hasa kwa sisi ambao hatujastaarabika,utawekeza pesa mwisho wa siku mmoja anamzidi ujanja mwingine; ni bora kama una wazo la biashara, tafuta njia mbadala za kukuwezesha kupata mtaji kama bank n.k
 
Huu ni uzi mzuri

Mimi nina connections, kazi zipo, ni Agribusiness, shida ni mtaji ama hela ya kufanyia kazi tu.. Kwasababu unalipwa baada ya kuwasilisha mzigo sehemu husika.

Iko hivi
Angalau 200mil, na ukiweka hii within mwezi mmoja tutapata around 20 mil.
Zikipatikana 600 mil itakua vzr zaidi lakini kwa kuanzia 200mil sio mbaya..

Banks zetu wanataka cashflow isome vzr, kuna bank walisema angalau ionekane ilishapita 400 mil KTK acc ndio wangetoa pesa...

Hii kazi ni serious sana tu,
Kama mtu kweli uko serious pls let me know, kila Kitu kitakua wazi..

Spray
Nzuri hii mkuu
 
Habari Wadau, Mimi ninafanya Biashara ya Kusimamia Manunuzi ya mizigo kutoka China na kufanya usafirishaji kwa Njia ya Ndege na Kusimamia usafirishaji wa Bidhaa kwa Njia ya Meli.
Kama tunavyojua watu wanafanya Manunuzi ya mizigo kutoka China kila siku.

Ela inapatikana katika njia Tatu. Ya kwanza ni Commision katika kila manunuzi yanayofanyika. (5% commission on Manunuzi) Kama Yanafanyika Manunuzi ya $500,000 Monthly maana yake $500,000 ×5%= $25,000

Pia Faida nyingine Kwenye Kusafirisha Mzigo.

Kuna Faida nyingine kwenye kusimamia mchakato wa kutuma pesa kwenda china. Kila Mteja anatakiwa kuweka na $50 ya Transfer charges.

Lakini Sisi tunatumia $50 Moja tu kutuma Ela yote.
Mfano: Customer 1000 wanataka kutuma $500 lazima watoe $550 kila mmoja
= $50 × 1000 = $ 50,000
Faida hapa ni $ 50,000

Na Faida Nyinginezo zinapatikana kama kampuni.

Ili kuweza kufanikisha mchakato huu Lazima uwekezaji ufanyike. Ni moja ya biashara nzuri.
Karibuni ili tuweze fanikisha
 
Nzuri sana mkuu, hongera, naamini utapata mwekezaji hapa hapa.
 
Mi nina connection na biashara ya tourmaline toka Congo tunanunua kwa Bei ya ndogo na soko liko Kenya kuna watailand wanachukua kwa Bei nzuri tatizo ni mtaji,tukiisha ichukua Kongo tunalipa $300 Kama import fees idara ya madini Kanda ya kigoma wanakupa kibali Cha kuingiza then unaenda kuuza mzigo wako
 
Habari wanajukwaa,
Sisi tuna kampuni inayohusika na usafi wa mazingira lakini pia tuna fua nguo kwa machine (Laundry and Dry cleaning services)
Mbali na hilo tuna tengeneza dawa zote za kufanyia usafi.
Tuna tarajia kuanzisha uzalishaji wa bidhaa hizi za usafi kwa kiwango kikubwa ili tuendane na kasi ya mahitaji ya soko.
Maana uhitaji ni mkubwa sana pia tume pata baadhi ya kampuni ambazo zimekuwa interested kuwa suppliers wa bidhaa zetu kwa maeneo yao yote.
Baadhi ya bidhaa tunazo zalisha ni,
1.Dawa ya kung'arisha Sink lililo fubaa pamoja na Tiles zilizo komaa nakurudisha katika hari mpya kabisa.
2.Carperts and sofa cleaner
Hii ina ondoa madoa sugu na uchafu sugu ulio shindikina kwenye sofa na carpet inayopelekea kurudia upya wake tena.
3.Dawa ya kung'arisha nguo yeupe zilizo fubaa na pia kuna formula ya nguo za rangi zilizo fubaa.
4.Dawa ya kuondoa madoa sugu kwenye nguo yeupe na zarangi
5.Dawa ya kuua wadudu majumbani, maofisini viwandani,mashambani n.k.
Katika hizo dawa zote hizo kwa sasa tuna tumia katika shughuri zetu za ndani za usafi.
Tuna hitaji kukuza mradi na kuzalisha kwa wingi kwahyo kwenye eneo hilo tuna hitaji mbia wa biashara aliye na mtaji.
Kwa mtu atakaye kuwa tayari kuwekeza atapata faida ya 30% ya mtaji kwa mwaka.
Yeye atawekeza tu kisha shughuri zote tuta ziendesha sisi ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara ya wafanya kazi,kodi serikalini,kodi ya pango,pamoja na gharama zote za uendeshaji.Yeye ata pata hiyo 30% bila kujali biashara ime enda vipi kwa msimu husika.
Kabla ya kuwekeza kuna mkataba wa kusaini na una chagua mwenyewe muda gani unahitaji kuwekeza minimum ni mwaka 1 then mwishoni una chukua mtaji wako na faida yote mwishoni mwa mwaka au kila mwezi
Mbali na hilo ili tuweze kusaini huo mkataba una takiwa uje na mashahidi wawili na sisi tuna kuwa nao wawili jumla kuna kuwa na mashahidi wanne ofisi ya kusaini ni kwa mwanasheria wa serikali ama wakili aliye simamia ufunguzi wa kampuni.
Kwa uliye tayari unaweza kututafuta kwa email hii geofrewille@gmail.com
Pia tuna zalisha bidhaa nyingi sana zihusuzo usafi.
Mafano wa namna dawa hizi zinavo fanya kazi picha hapo chini before cleaning and after cleaning kwa jacuuz hilo la kuogea,sink
IMG_20210121_145228_321.jpg
IMG_20210121_184808_300.png
IMG_20210115_121652_976.jpg
IMG_20210115_130611_059.jpg
na Tiles
 
Habari wanajukwaa,
Sisi tuna kampuni inayohusika na usafi wa mazingira lakini pia tuna fua nguo kwa machine (Laundry and Dry cleaning services)
Mbali na hilo tuna tengeneza dawa zote za kufanyia usafi.
Tuna tarajia kuanzisha uzalishaji wa bidhaa hizi za usafi kwa kiwango kikubwa ili tuendane na kasi ya mahitaji ya soko.
Maana uhitaji ni mkubwa sana pia tume pata baadhi ya kampuni ambazo zimekuwa interested kuwa suppliers wa bidhaa zetu kwa maeneo yao yote.
Baadhi ya bidhaa tunazo zalisha ni,
1.Dawa ya kung'arisha Sink lililo fubaa pamoja na Tiles zilizo komaa nakurudisha katika hari mpya kabisa.
2.Carperts and sofa cleaner
Hii ina ondoa madoa sugu na uchafu sugu ulio shindikina kwenye sofa na carpet inayopelekea kurudia upya wake tena.
3.Dawa ya kung'arisha nguo yeupe zilizo fubaa na pia kuna formula ya nguo za rangi zilizo fubaa.
4.Dawa ya kuondoa madoa sugu kwenye nguo yeupe na zarangi
5.Dawa ya kuua wadudu majumbani, maofisini viwandani,mashambani n.k.
Katika hizo dawa zote hizo kwa sasa tuna tumia katika shughuri zetu za ndani za usafi.
Tuna hitaji kukuza mradi na kuzalisha kwa wingi kwahyo kwenye eneo hilo tuna hitaji mbia wa biashara aliye na mtaji.
Kwa mtu atakaye kuwa tayari kuwekeza atapata faida ya 5% ya mtaji kwa kila mwezi.
Yeye atawekeza tu kisha shughuri zote tuta ziendesha sisi ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara ya wafanya kazi,kodi serikalini,kodi ya pango,pamoja na gharama zote za uendeshaji.Yeye ata pata hiyo 5% kila mwezi bila kujali biashara ime enda vipi kwa mwezi ama msimu husika.
Kabla ya kuwekeza kuna mkataba wa kusaini na una chagua mwenyewe muda gani unahitaji kuwekeza minimum ni mwaka 1 then mwishoni una chukua mtaji wako tu maana faida ulikuwa una chukua kila mwezi 5% labda uhitaji yote mwishoni mwa mwaka.
Mbali na hilo ili tuweze kusaini huo mkataba una takiwa uje na mashahidi wawili na sisi tuna kuwa nao wawili jumla kuna kuwa na mashahidi wanne ofisi ya kusaini ni kwa mwanasheria wa serikali ama wakili aliye simamia ufunguzi wa kampuni.
Kwa uliye tayari unaweza kututafuta kwa email hii geofrewille@gmail.com
Pia tuna zalisha bidhaa nyingi sana zihusuzo usafi.
Mafano wa namna dawa hizi zinavo fanya kazi picha hapo chini before cleaning and after cleaning kwa jacuuz hilo la kuogea,sink View attachment 1689226View attachment 1689225View attachment 1689223View attachment 1689224na Tiles
Hili wazo ni zuri sana. Ila excution yake naona kama haijakaa sawa. Usipo kuwa makini nia na wazo zuri linaweza geuka shubiri.

1. Kwanza kote duniani inajulikana kuwa biashara ya kuzalisha bidhaa (Commodities) faida yake ni ndogo mno, hivyo ku garantii faida ya 5% kwa mwezi wakati ndo unataka kuanza si sahihi.
2. Biashara ya uzalishaji wowote inahitaji muda wa matazamio (grace period) kabla hujaanza kutoa gawio au kulipa mkopo.
3. Naona unataka kutumia model ya debt financing. Je umeangalia pia uwezekano wa kutumia equity financing? Debt financing kwa 5% kwa mwezi ni nyingi mno kwa biashara ya uzalishaji.

Unapochukua hela za mtu inabidi uwe smart sana. Ni vyema mka kaa chini na wataalamu wa biashara mkandaa plan nzuri ili mwisho wa siku mambi yawe safi.

Kitu kingine ambacho nimeona kwa vijana wengi wanaotafuta wawekezajj ni kuongelea positive side tu na ku garantii profit.

Biashara ina mambo mengi, hivyo pamoja na kumshawishi mwekezaji lakini ni vizuri pia ukamweleza changamoto zinazoweza kujitokeza na jinsi ambavyo umejipanga kukabiliana nazo.
 
Habari zenu wana jamvi , Mi natafuta fundi wa Aluminium , awe kijana asie na mambo mengi, nikae nae officin kwangu in case kazi za wateja zipo awe anatengeneza, Offici ni duka la Aluminium profile , location Mwanza
 
Mi nina connection na biashara ya tourmaline toka Congo tunanunua kwa Bei ya ndogo na soko liko Kenya kuna watailand wanachukua kwa Bei nzuri tatizo ni mtaji,tukiisha ichukua Kongo tunalipa $300 Kama import fees idara ya madini Kanda ya kigoma wanakupa kibali Cha kuingiza then unaenda kuuza mzigo wako
Hili wazo liko vizuri
 
Habari wanajukwaa,
Sisi tuna kampuni inayohusika na usafi wa mazingira lakini pia tuna fua nguo kwa machine (Laundry and Dry cleaning services)
Mbali na hilo tuna tengeneza dawa zote za kufanyia usafi.
Tuna tarajia kuanzisha uzalishaji wa bidhaa hizi za usafi kwa kiwango kikubwa ili tuendane na kasi ya mahitaji ya soko.
Maana uhitaji ni mkubwa sana pia tume pata baadhi ya kampuni ambazo zimekuwa interested kuwa suppliers wa bidhaa zetu kwa maeneo yao yote.
Baadhi ya bidhaa tunazo zalisha ni,
1.Dawa ya kung'arisha Sink lililo fubaa pamoja na Tiles zilizo komaa nakurudisha katika hari mpya kabisa.
2.Carperts and sofa cleaner
Hii ina ondoa madoa sugu na uchafu sugu ulio shindikina kwenye sofa na carpet inayopelekea kurudia upya wake tena.
3.Dawa ya kung'arisha nguo yeupe zilizo fubaa na pia kuna formula ya nguo za rangi zilizo fubaa.
4.Dawa ya kuondoa madoa sugu kwenye nguo yeupe na zarangi
5.Dawa ya kuua wadudu majumbani, maofisini viwandani,mashambani n.k.
Katika hizo dawa zote hizo kwa sasa tuna tumia katika shughuri zetu za ndani za usafi.
Tuna hitaji kukuza mradi na kuzalisha kwa wingi kwahyo kwenye eneo hilo tuna hitaji mbia wa biashara aliye na mtaji.
Kwa mtu atakaye kuwa tayari kuwekeza atapata faida ya 30% ya mtaji kwa mwaka.
Yeye atawekeza tu kisha shughuri zote tuta ziendesha sisi ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara ya wafanya kazi,kodi serikalini,kodi ya pango,pamoja na gharama zote za uendeshaji.Yeye ata pata hiyo 30% bila kujali biashara ime enda vipi kwa msimu husika.
Kabla ya kuwekeza kuna mkataba wa kusaini na una chagua mwenyewe muda gani unahitaji kuwekeza minimum ni mwaka 1 then mwishoni una chukua mtaji wako na faida yote mwishoni mwa mwaka au kila mwezi
Mbali na hilo ili tuweze kusaini huo mkataba una takiwa uje na mashahidi wawili na sisi tuna kuwa nao wawili jumla kuna kuwa na mashahidi wanne ofisi ya kusaini ni kwa mwanasheria wa serikali ama wakili aliye simamia ufunguzi wa kampuni.
Kwa uliye tayari unaweza kututafuta kwa email hii geofrewille@gmail.com
Pia tuna zalisha bidhaa nyingi sana zihusuzo usafi.
Mafano wa namna dawa hizi zinavo fanya kazi picha hapo chini before cleaning and after cleaning kwa jacuuz hilo la kuogea,sink View attachment 1689226View attachment 1689225View attachment 1689223View attachment 1689224na Tiles
Aisee nyie ni kiboko.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom