Recent content by NASIBU GODONI

  1. N

    Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

    Yaah you are right to aware those ladies who finding husbnands,lakini haina maana kama kila mwanaume wanamwignoo kuna kama sisi we are serious with it and when a time approach to me nitatangaza kutafuta mke.kuwa makini madada na hukers.
  2. N

    Mwl.Nyerere alifanya jambo hili mbele yangu mwaka 1998

    Kweli kwa sisi tunao somea psychology huwa tunawagawa watu kama hao kwa jina la gifted people.mwal was gifted to us.
  3. N

    The US Presidential Elections-2012

    Obama habahatishi mzee anjua,nafasi hiyo nampa DR SIRAHA kwa hapa bongo,nakumbuka mahojiano ya raia na wagombea uraisi Tanzania yaliyo fanyika kilimanjaro hotel posta jijijini DSM 2010 mzee wa chadema dr siraha alionye yeye next level kuliko wote walio gombea uraisi kupitia vyama vyao.
  4. N

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Poleni wakazi wa dar,lakini hilo c suruhisho cha msingi viongozi wa dini zote mbili wakae wafikie mwafaka.tunaelekea sio kwenyewe,kwaheli amani karibu mvurugiko.hii ni kwasababu ya utawala mbovu uliopo madalakani na ili tufikie maendeleo acha machafuko yaendelee kupamba moto.
  5. N

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Hakuna kitu nilicho furahi kama ulimboka kaongea ukweli maana angekuwa mnyakusa wa tofauti hapa tanzania kwanza kunawatu wanakufa njaa mpaka leo kisa ulimboka mfano gazeti la mwanahalisi limefungiwa je unafiki wajiliwa wa hilo gazeti wanakula nini?Ule ni mpango wa serikali yaani naamini kabisa...
  6. N

    Wanaoleta vurugu za kidini wanadekezwa

    Amani ilisha toweka tangu zamani,ona wandishi wa habari na mapolisi wanavyo fanyiana,iringa kimetokea nini,mwanza kimetokea nini,zanzibar kimetokea nn leo hii tuongelee amani?wastage of time,Taifa letu lisha poteza utamaduni na taifa lisilo na utamaduni ni taifa duni.
Back
Top Bottom