Recent content by nasaluka

  1. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya: Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania

    Kwa kweli shekh kazi ulioifanya imeleta athari kubwa sana na tunategemea faida zaid katika maandiko yako, Maana sioni kwa kuyapata kwa sasa km si kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. nasaluka

    JamiiForums Tanzania UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa 10 yanayotajwa kuongoza Duniani wa UVUMBUZI kwa mwaka 2019

    Km china haipo inatia mashaka
  3. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

    Hamna supa hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. nasaluka

    JamiiForums Tanzania UPI ukweli kuhusu mwafrika?

    Hoja ya nani mwafrika inaonekana inawagonga sana vichwa wasomi kitu ambacho kinapelekea watu wa kawaida tusielewe kabsa juu ya dhana hii tete nikaona acha niwaletee hii hoja ukumbi janvini hapa
  5. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

    Hongerazake
  6. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake duniani - Tanzania: Nani anawajua wapigania uhuru hawa wanawake?

    Mtaje we Huyo mkristo aliyekawepo
  7. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Taazia: Dr. Aman walid Kaburou na Manju Msambya

    Mungu amlaze pema peponi
  8. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Darasa la papo kwa papo na Mzee Kissinger

    Aisee !tumekusoma! kwa maoni yangu nahisi una hadhi ya kuitwa prof.maana kila ukija una jambo ambalo hatulijui. Mungu akupe uhai mrefu uzidi kuondoa fitna ktk historia
  9. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Maana Ya 'Black History Month'.

    Namkumbuka kwame nkurumah
  10. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Wanyakyusa hapo sikubali hata kwa ngumi
  11. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Azam TV: Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kumbukumbu zilizozikwa

    Kwa kiwango cha mkinga hiyo ilikuwa mada kubwa kwake maana hana uweledi NATO sana sana itakuwa alitoka povu tu
  12. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Azam TV: Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kumbukumbu zilizozikwa

    Hivi huyu pascal anahadhi ya kuitwa mwandishi kweli! Maana inaonekana huwa anahoja nyepesi na zenye lengo La ubishi na kubuy time tu Au ndo uandishi wa mtandaoni(kila MTU mwandishi)!? Embu leta kazi zako zinazotokana na primary source km mzee Mohammed anavyofanya
  13. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Azam TV: Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kumbukumbu zilizozikwa

    Hivi we jamaa pascal embu tupe ushahidi wa kuhadithiwa mapinduzi na mwanamapinduzi maana the way unaongea inaonekana km unatumia mawazo yako na ushabiki, maana mzee Mohammed said huwa anatupaga ushahidi wa mengi anayoyasema
  14. nasaluka

    JamiiForums Tanzania Je, asili ya Washirazi ni Persia?

    Kwa uchache ufahamu wangu upon hivyo kwamba washirazi asili yao Persia mbayo in maeneo ya Irani ya leo.
Back
Top Bottom