Recent content by Napoleon the second

  1. Napoleon the second

    Upembuzi wa kitabu cha mtu tajiri zaidi babylon

    Sawa kiongozi, hata hivyo nafanya kazi ya uchambuzi wa vitabu mbalimbali unaweza "kunfollow" pia "facebook" kwa majina ya Leonard Julius au kutumia email shiganga2010@gmail.com
  2. Napoleon the second

    Naombeni ushauri wa kusoma Masters hii ya Open University

    Kabla nijaandika nilijwa nitakutana na majibu kama but mwishoni kabsa atatokea mtu atakayetoa majibu sahihi!!
  3. Napoleon the second

    Naombeni ushauri wa kusoma Masters hii ya Open University

    Mkuu ndio maana nikauliza ili mwenye ufahamu mzuri akieleza ndio nitajua kama vinaendana au laa!!
  4. Napoleon the second

    Naombeni ushauri wa kusoma Masters hii ya Open University

    Habari za majukumu wanajukwaa, bila shaka ni wazima wa afya. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu; Ndugu wanajukwaa naombeni ushauri wenu hasa kwa nyie wazoefu na hii kitu inayoitwa "Masters of Arts in International Cooperation and Development" inayotolewa na Chuo kikuu Huria cha...
  5. Napoleon the second

    EPISODE 1: Uchambuzi wa kitabu cha Siri za Akili ya Mtu Tajiri

    ________________________________________________ UCHAMBUZI MAKINI WA KITABU CHA: "SIRI ZA AKILI YA MTU TAJIRI" (SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND) NA: LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Kitabu hiki kimeandikwa na T. HARV EKER, na kimechapishwa mnamo mwaka 2005. KUHUSU MWANDISHI...
  6. Napoleon the second

    EPISODE 1: Uchambuzi wa kitabu cha Siri za Akili ya Mtu Tajiri

    EPISODE ONE ________________________________ UCHAMBUZI MAKINI WA KITABU CHA: "SIRI ZA AKILI YA MTU TAJIRI" (SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND). NA: LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Kitabu hiki kimeandikwa na T. HARV EKER, ambaye ni milionea, mwandishi na mzungumzaji maarufu...
  7. Napoleon the second

    Majibu sahihi ya swali la msingi "nifanye biashara gani?"

    MAJIBU SAHIHI YA SWALI LA MSINGI "NIFANYE BIASHARA GANI?" NA, LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya BIASHARA mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "NIFANYE BIASHARA GANI?" # LEO NIMEONA KUWA...
  8. Napoleon the second

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
  9. Napoleon the second

    Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

    Ndugu yangu hoja hapa sio aina ya biashara unayotaka kufungua, hoja kubwa hapa ni kwamba, "how do you see yourself in that business?" Kwa maana nyingine ukijiangalia, kujipima, kujitathimini na kujikagua ndani mwako mwenyewe unajiona unaweza kuwa bora kwenye biashara gani kati ya hizo ulizo...
Back
Top Bottom