Recent content by napenda

  1. napenda

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Hii ni kawaida tu , hivyo vipele vitapasuka na ku kauka, kikubwa usifanye ngono hadi upone
  2. napenda

    JamiiForums Tanzania Usindikaji wa pilipili na nyanya

    Sikupata msaada kabisa , taarifa hizi ninazihitaji bado maana tayari nishapata eneo, na nilianza kutafuta elimu ya kilimo , ili nizalishe na kuprosses, taaruma ya food prossecing naona itachukua mda mrefu pia, ningepata wa kuniongoza ingependeza sana
  3. napenda

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    kweli naona wako mbali
  4. napenda

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    nimewaza kuanzisha biashala hii ya spare za pikipiki ,nina idea ya ufundi kwa matatizo madomadogo kama kurekebisha tapet na kurekebisha vitu vingine tofauti na kugusa engine pamoja na wiring, ningependa nisaidiwe makisio ya garama itakayo hitajika kufugua duka la kuanzia, huku toyo ndo nyingi...
  5. napenda

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    tupia picha mkuu nataka nihamie mkuranga mkuu angarau nipaone kwa picha piga sehem yoyote
  6. napenda

    JamiiForums Tanzania Eti kama haukuwa kati ya shule hizi, we ni kilaza ?

    Sio kweli, nilihama toka bwiru to twitange baada ya kunolewa kuchomolewa na mgomo wa 2002 na kuona nita-feil ,nilio waacha hawaku-pass na mimi niko ktk ajira na niko fiti ni first class tu vyuoni.
  7. napenda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI

    Napita tu....
  8. napenda

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Kitunguu hakipendi kukatwa na kisu, ndio maana nacho huwa kinajitahidi kumliza mkataji, kinapenda kukatwa kwa meno, jaribu uone
  9. napenda

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Tanzania agriculture extansion officers employed and un-employed
  10. napenda

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji mwakilishi wa kitu au shughuli yeyote Mwanza anitafute

    Nipo mwanza nina elimu ya kati (marketing) kwa atakayehitaji msaada wowote toka kwangu tuwasiliane,kutafuta chochote, kufanya chochote halali niko tayari
  11. napenda

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nyinyi huwa hamsomi thread, nimesema kjjn unanunua 300sh kwa lita na unauza 700kwa lita mjini, (300 ni bei kama unachukua maziwa mengi kuanzia lita 40,)
  12. napenda

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Panafikika vizuri sana, huwa nafata na toyo yangu asubuhi, kama saa moja tu kwenda na kurudi
  13. napenda

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Nyegezi Bondeni

    Mkuu bado?
  14. napenda

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Elim nzuri hii
Back
Top Bottom