Recent content by Napenda familia yangu

  1. Napenda familia yangu

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu habari!! Mwenye access ya wimbo nakukunda chane ya hakeem 5 naitafuta sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Napenda familia yangu

    Mtandao wa Airtel una shida gani?

    Tangu alhamis iliyopita hili tatizo lipo airtel. Wajitafakari. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Napenda familia yangu

    Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

    Hatari sana hii Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Napenda familia yangu

    Kubenea awaonya wanaopiga ramli kuhusu hatima yake CHADEMA, azungumzia Virusi vya Corona

    Siasa za tanzania hatari sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Napenda familia yangu

    Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

    Pole sana mkuu!!! Nilishawahi kutana na tatizo linafanana na hili lako ila mi wife ndio alikuwa muhanga. Ilikuwa kila nikikutana nae lazima awashwe sana. Ilinitesa hiyo hali kwa muda zaidi ya miaka mitatu na hakukuwa na raha ya tendo tena. Tulishafanya vipimo vyote lakini hakuna ambae alikutwa...
  6. Napenda familia yangu

    Nasikia nchi haina hela ndio maana mishahara hadi leo bado

    Mkuu Bonde la Baraka nakuomba pm Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Napenda familia yangu

    Nahitaji mkopo wa haraka wa Tsh. 300000

    Hatari sana hii watu hawana huruma. Hutumia matatizo ya wengine kunufaika. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Napenda familia yangu

    Wazee wa Pori watakwambia. Adui yao Mkubwa ni Nyati/Mbogo. Huyu hafai hasa Ukimjeruhi

    [emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana daah mpaka wanaitwa black death. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Napenda familia yangu

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Kila mbabe na mbabe wake duniani hapa. Huyo akikutana na wakina mongoose au honey burger basi hana ujanja wowote zaidi ya kuliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Napenda familia yangu

    CHADEMA yatafakari kuwapeleka wabunge wake waliovunjwa vunjwa na polisi nje ya nchi kwa matibabu zaidi , Corona yaleta vikwazo

    Hatari sana hii. Ila askari jela ni habari nyingine kwenye kugawa kipigo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Napenda familia yangu

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Hapa ilikuwa sehemu safi ya updates hawa jamaa wametukosea sana kuuchanganya huko huu uzi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Napenda familia yangu

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Mkuu habari haieleweki hii kama corona yenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Napenda familia yangu

    CORONA VIRUS: Inawezekana watu wakahama Dunia

    Kiduku katika ubora wake Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Napenda familia yangu

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Hatari sana hii Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom