Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

Mar 13, 2019
64
30
Wakuu habari.

Nitaandika kwa kifupi sana.

Ninawashwa pumbu tangu 2016.

Awali nilitumia dawa nyingi mno lakini wapi.

Nilipandishaga uzi hapa nikashauriwa nitumie cream ya skerdem. Kweli ilinisanidia nikapona kabisa ila baada ya mwezi ikarudi tena.

Hii cream ndo cream pekee ambayo nikipaka inanipa ahueni. Nyingine nyingi hazipunguzi hata muwasho.

Kinachoniumiza ni kuwa, wife pia namwambukiza. Ila yeye akitumia dawa anapona shida ni kuwa kwavile uvumilivu unatushinda, tunajikuta tumefanya tendo na yeye kuambukizwa tena.

Mimi kila dawa nayoijaribu inadunda. Au hata nikipona inarudi baada ya muda. Boxer nazifua na sizirudii nikioga.

Nimetumia dawa za hospital na mitishamba lakini wapi

Nimezunguka kwa dermatologists wa kairuki hospital na muhimbili ila wote wameishia kunipa pills na cream tu. Na siponi.

Halafu pumbu zangu ukiziangalia ni kama hazina shida yoyote ile. Zipo normal tu hazina mabaka wala chochote kinaochoashiria kama zina shida..ila muwasho wake si wa kitoto

Naombeni msaada wenu wakuu. Naamini kwa huu uzi wa leo nitapata suluhisho la kudumu kwa uwezo wa Mungu.

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta petrol changanya na sabuni ya Jiki paka kwenye pumbu

............Acha ujinga nenda chit chat ukafanye ujinga wako huu,mtu anakwambia anaumwa wewe hapa unaleta utoto.mnakera sana mnaotania tania kwenye thread za watu wenye matatizo.

Pathetic!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Wakuu habari.

Nitaandika kwa kifupi sana.

Ninawashwa pumbu tangu 2016.

Awali nilitumia dawa nyingi mno lakini wapi.

Nilipandishaga uzi hapa nikashauriwa nitumie cream ya skerdem. Kweli ilinisanidia nikapona kabisa ila baada ya mwezi ikarudi tena.

Hii cream ndo cream pekee ambayo nikipaka inanipa ahueni. Nyingine nyingi hazipunguzi hata muwasho.

Kinachoniumiza ni kuwa, wife pia namwambukiza. Ila yeye akitumia dawa anapona shida ni kuwa kwavile uvumilivu unatushinda, tunajikuta tumefanya tendo na yeye kuambukizwa tena.

Mimi kila dawa nayoijaribu inadunda. Au hata nikipona inarudi baada ya muda. Boxer nazifua na sizirudii nikioga.

Nimetumia dawa za hospital na mitishamba lakini wapi

Nimezunguka kwa dermatologists wa kairuki hospital na muhimbili ila wote wameishia kunipa pills na cream tu. Na siponi.

Halafu pumbu zangu ukiziangalia ni kama hazina shida yoyote ile. Zipo normal tu hazina mabaka wala chochote kinaochoashiria kama zina shida..ila muwasho wake si wa kitoto

Naombeni msaada wenu wakuu. Naamini kwa huu uzi wa leo nitapata suluhisho la kudumu kwa uwezo wa Mungu.

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app

Nunua nyundo tu na sindano ya kushonea viatu. Pumbu zikianza kuwasha, chukua sindano ishindilie sehemu unawasha pale pumbuni, usijionee huruma hata kidogo.
 
Pole sana King In The North.
Inasemekana maji ya bahari yana tiba kwa matatizo mbali mbali ya ngozi, jaribu kuyatumia angalau mara mbili kwa wiki.
 
Pole I can't imagine discomfort unayopata. I really hope utapata tiba na utapona kabisa .
Jaribu pia kwa Wamasai naskiaga kama wana dawa za asili nzuri unaweza pata suluhisho huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekula vya watu.
Wakuu habari.

Nitaandika kwa kifupi sana.

Ninawashwa pumbu tangu 2016.

Awali nilitumia dawa nyingi mno lakini wapi.

Nilipandishaga uzi hapa nikashauriwa nitumie cream ya skerdem. Kweli ilinisanidia nikapona kabisa ila baada ya mwezi ikarudi tena.

Hii cream ndo cream pekee ambayo nikipaka inanipa ahueni. Nyingine nyingi hazipunguzi hata muwasho.

Kinachoniumiza ni kuwa, wife pia namwambukiza. Ila yeye akitumia dawa anapona shida ni kuwa kwavile uvumilivu unatushinda, tunajikuta tumefanya tendo na yeye kuambukizwa tena.

Mimi kila dawa nayoijaribu inadunda. Au hata nikipona inarudi baada ya muda. Boxer nazifua na sizirudii nikioga.

Nimetumia dawa za hospital na mitishamba lakini wapi

Nimezunguka kwa dermatologists wa kairuki hospital na muhimbili ila wote wameishia kunipa pills na cream tu. Na siponi.

Halafu pumbu zangu ukiziangalia ni kama hazina shida yoyote ile. Zipo normal tu hazina mabaka wala chochote kinaochoashiria kama zina shida..ila muwasho wake si wa kitoto

Naombeni msaada wenu wakuu. Naamini kwa huu uzi wa leo nitapata suluhisho la kudumu kwa uwezo wa Mungu.

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu!!! Nilishawahi kutana na tatizo linafanana na hili lako ila mi wife ndio alikuwa muhanga. Ilikuwa kila nikikutana nae lazima awashwe sana. Ilinitesa hiyo hali kwa muda zaidi ya miaka mitatu na hakukuwa na raha ya tendo tena.

Tulishafanya vipimo vyote lakini hakuna ambae alikutwa na shida na madaktari walikuwa wanaishia kutupatia dawa wife akitumia siku mbili muwasho unapotea.
Nilikuja pata suluhisho kwa daktari mmoja yy baada ya vipimo kuonyesha hakuna shida alitushauri tuzidishe usafi zaidi wa sehemu zetu nyeti.
Na kweli tatizo liliisha mi siwezi kaa na mavu. zi tena na nikitoka kuoga najifuta huko chini nahakikisha pumb.u na sehemu zinazoizunguka zimekauka kabisa ndio niendelee na mambo mengine.
Jaribu kuwa msafi zaidi labda itasaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakuomba lakini kipindi bado hujapata dawa unipe wife wako niwe namsaidia kukungoja upone.
Natanguliza shukrani.
 
Vaa boxa zile kubwa kubwa usivaa viboxa vinavyobana pia nyoa sana uko afu pakaushe vzr ukitoka oga awo ni fugasi hao tafuta dawa inaitwa candida ya poda hii kiboko uto washwa tena ila zingatia kuvaa boxa kubwa kubwa na pia nyoa vzr uko chini.

121.
 
Back
Top Bottom