Recent content by naomba kazi

  1. N

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani bora?

    Local channel dstv hakunaga Sent using compute mpakato
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada please ndoa ya kanisani (Roman Catholic)

    Ukiwa na ela yako tu, Kuna padri mmoja anakufanyia mpango kila kitu kinakaa poa ndani ya siku tatu tu, nitafute Sent using compute mpakato
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira - Credit Promoters

    Hapana wewe mpaka 2025 Sent using compute mpakato
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kujitolea kufanya kazi siku za wikiendi

    skull, Kama ukipata sehemu ya kujitolea Njombe, kila ijumaa utakuwa unatoka Arusha kuja Njombe kupiga kujitolea then unarudi Arusha?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sehemu yenye chakula kizuri na mandhari nzuri Dar es Salaam

    Habarini wana ndugu, Nataka kujua eneo/ sehemu nzuri ya kula chakula (inayopika chakula kizuri) na kwenye mandhali nzuri iliyotulia. Ningependelea zaidi maeneo hayo yawe kuanzia Mwenge kuelekea Makumbusho au Mwenge kuelekea Ubungo, Naomba mwenye kujua anijuze wakuu. Natanguliza shukrani...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung j7 pro, isiwe ya wizi

    BADO SIMU INAITAJIKA
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung j7 pro, isiwe ya wizi

    Nimepata ela ya kununulia simu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung j7 pro, isiwe ya wizi

    Pamoja
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung j7 pro, isiwe ya wizi

    Bado inaitajika
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung j7 pro, isiwe ya wizi

    Bado inaitajika
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung j7 pro, isiwe ya wizi

    Anayueza simu tajawa hapo juu, naitaji Sifa Isiwe ya wizi Isiwe na mipasuko yeyote life time ya betry izingatiwe Bei iwe ya mkulima wa jembe la mkono Karibuni
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha Kivukoni TEMESA

    Majina naskia yametoka na watu wameshafanya interview na wameanza kazi week hii
  13. N

    JamiiForums Tanzania True men don't forget

    Peace of mind
  14. N

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

    Nimenunua leo boss bado sijaifunga, vipi ubora wake upoje mkuu ebu nidadavulie kidogo maana nimekutana na sms kwenye huu uzi unazungumzia ubovu wa LG nimepata mashaka na utumbo kuanza kuuma
  15. N

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

    Vipi Mimi hapa nimepigwa au ni yenyewe maana nimenunua dukani kabisa ni mpya
Back
Top Bottom