Recent content by nanyembe

  1. nanyembe

    JamiiForums Tanzania Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

    Hata mimi niliwahi kuwa na jirani yangu pale Mtoni Kijichi kabla sijaja huku ughaibuni. Nayeye yule binti Story yake inafanana kabisa na hii. Au sijui ndiye yeye huyu Binti?? Pia nilikuwa ninamfundishaga na alikuwa anaonesha kuwa ana uwezo mkubwa sana kiakili.
  2. nanyembe

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Ndege inavyofanya kazi

    Ikitokea mechanical failure, propeller ikazunguka opposite direction ndege itarudi rivers. Lkn hii ni kwa propeller A/c only.
  3. nanyembe

    JamiiForums Tanzania Kabati la nguo linauzwa bei chee!

    Pichani??? Lipo Dar au???
  4. nanyembe

    JamiiForums Tanzania Uza~Nunua chochote.....Toa na kupokea wazo la kibiashara kupitia whatsapp

    Niadd mkuu 0764127705
  5. nanyembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Diamond Platumz hajui kingereza au alijitoa ufahamu tu?

    Kwani kiingereza ndo kipimo cha akili???
  6. nanyembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

    Lkn kumbuka hao uliowataja woote wanapatikana jeshini. Endapo hao wa uraiani watagoma basi Makamanda wanachukua nafasi hizo shuleni, hosputali n.k.
  7. nanyembe

    JamiiForums Tanzania Highest Paying Jobs in Tanzania

    Fighter Pilot.
Back
Top Bottom