ndugu yangu malalamiko dhidi ya TB Joshua yapo kwenye YouTube siku nyingi . watu wengi wanasema eti walikuwa wapi wakati akiwa hai, ukweli ni kwamba tuhuma zipo You Tube kabla hajafa. na wanawake wanaolalamika sio kwamba walijificha, walionyesha sura zao na kujitaja majina. watu waseme lingine...
asilimia 90 ya sisi waswahili baada ya kutumia choo, hatuflash au tuseme kukiacha kisafi . kukimbilia kudai mamlaka husika ni suala la pili, jambo la kwanza sisi wenyewe waafrika tubadilike, usafi uanzie kwetu, kama uamini tembelea maeneo yafuatayo,
1. vyuoni
2. maofisini
3. sokoni
yaani kitu...
Rais Samia amefanya mema mengi kwa nchi, kama ni mapungufu ni ya kibidamu. juzi tu aliposikia naibu waziri amefanya ukatili kwa raia. Pili suala la bandari licha ya kupotoshwa kwa makusudi, hakumuwekea mtu kinyongo cha kisasi. Naamini hata ziara anazofanya ni kwa kutafakari maslahi kwanza.
Kwa...
lazima vitoweke !
TANAPA wakifanya kazi anakuja mkuu wa mkoa au mwanasiasa , anataka yeye aonekane mzuri utasikia '' waacheni hao, msiwafukuze " yeye huyooo anapanda gari lake, anajali sifa binafsi badala ya maslahi mapana ya Taifa
ila na mimi naona kama mtoa mada ana hoja,
ila kwanini Pharmacist wasipewe mchakato mzima wa kuanzia ku test dawa, kuotesha wadudu wa ugonjwa, kumimini solution ya dawa , ku test wadudu wamekufa wangapi, kupima ni moles ngapi za compound fulani zimeuwa wadudu wenye miligramu ngapi. kisha ku...
Mhe. kwenye hili suala watu wa Wizara ya Elimu hawezi kushughulikia kwasababu ndo wanufaika wa hizo Rushwa kutoka kwa wamiliki wa shule.
kitu cha kwanza , ada ya mtoto anapoingia darasa la nne inaongezeka karibu 400% hivyo ni chanzo cha mapato na ili kulifumbia macho pesa inapelekwa kwa...
nimeependa sana hii mada,
nimetumia hii mada kujifunza badala ya kujaribu kutetea dini yangu. watu wamenielimisha sana - Dini zote mbili ; wakristo na waislam
Hongera Mhe. kwa kuaminiwa pia hongera kwa kutupa nafasi ya kutoa dukuduku letu.
mi hoja yangu inaweza kuwa tofauti kidogo , lakini utufikishie kwa Rais kwani wahusika hawataki kulishughulikia.
suala la watoto wa darasa la Nne kulazimishwa kwenda kukao Boarding kwa shule zilizosajiliwa kama DAY...
chukua Toyota Allex,
mtoa mada naona watu wanakushauri uchukue Runex ya CC 1800, kwanza hapo unalinganisha cc 1400 na 1800 vitu viwili tofauti
Mbona watu hawakuambii Allex ina shida gani ?. allex ni gari nzuri sana, pia ina nafasi ndani tofauti kabisa na IST. Inakula mafuta kidogo sana...
ila miaka ya hivi karibuni, kumezuka wimbi la madereva wa serikalini kujichukulia kuwa sawa na mabosi na mabosi kutafuta umaarufu kwa madereva. yaani mabosi wameacha kusimamia taratibu kwa kutafuta umaarufu kwa madereva. hii imefanya madereva wa serikalini kujiamini kupita kiasi na kuwa na dharau
mimi sio mtu wa dini, ila ukisoma maandiko ya vitabu vyote (Quran takatifu na Biblia upande wa Ibrahim)
utajua kwanini ni Mungu wa Israel na kwanini ndo inaitawala Dunia. Hakuna wa kuishinda
hii sheria ingeangaliwa upya, ni kweli adhabu ziwepo lakini sio kiasi hicho, mvulana mwenyewe bado mdogo sana wala hajui kama kuna kufungwa. sheria iangaliwe upya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.