Recent content by Nani mshindi sasa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Haya bint wa zamani nimekupata,mimi hapa mhenga mwenzio.tunaweza kuwa friend in serious.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kashameza ndoano

    nini kinaendelea huko duniani?inamaana aliyechukua fomu alikuwa yeye ,akiwa si yeye???
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

    Bado tuko kwenye maombolezo.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    Ni wajinga tu ambao walikuwa wanamuamini mbowe.binafsi mbowe since day one naanza kumfuatilia ,baadae nili conclude ni yupo kimaslahi na mbinafsi .Kafanya vizuri kutoka ,alikuwa anawatumia wenzake kuingiza pesa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Duuh. something is wrong !! anyway tutaskia mengi. Nahisi hii ni plan B .mambo ya uchaguzi haya.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Salamu za kheri kwa January Makamba na Nape Nnauye

    Nape kapenya.labda wamkate final.
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwako ndugu January Makamba

    Kuna teuzi inamsubiri.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ridhiwani waziri wa mambo ya nje na Salma Kikwete waziri wa jinsia na watoto

    Awamu hii ,ina kila namna ya rangi.
Back
Top Bottom