Recent content by nani mbuzi

  1. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania TCRA namba hizi nikiwapigia siwapati, nipo na mashaka.

    Namimi nina malalamiko tcra kuhusu VodaCom baadhi ya waliopewa dhamana nitawapa uzi huo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    SIMIYU VODACOM HUDUMA MANAGER KANIAMBIA NIENDE NIKAONANE NA UONGOZ VODA ALICHODAI HAWEZ KUNISAIDIA SABABU NILIANDIKA UJUMBE KWENYE KURASA ZA VODACOM TANZANIA MESENJA KWA HIYO NILIHARIBU SURA YA VODACOM PAMOJA NA YEYE NILIMHARIBIA Kwa maana hiyo hatoweza vinginevyo niende uongoz wa juu Pia...
  3. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi niko simiyu Aliyeko humu anisaidie namba ya yasimu ya Wakala Mkuu Wa DAILY TRADE MARKET MSAADA PLZ Sent using Jamii Forums mobile app
  4. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Kitabu uchawi wa Mchungaji Stephano na sitoisahau Gamboshi

    Mimi Niko Gamboshi ...Kwanza Gamboshi ni Kijiji..na shughuli zinaendelea Kama kawaida tu ... Unachojaribu kuelezea bado huelewi Gamboshi ni UFALME..wa kundi jadi asili yangu na yangu Mambo yao ni Siri nzito Ukitaka jua ZAIDI njoo Gamboshi ..ujiunge nao hao vigagula Technology iliyoko...
  5. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Simiyu angalia hii barabara ya Mwigumbi kupitia Maswa hadi Bariadi, ina walakini

    Truth gives power Sent using Jamii Forums mobile app
  6. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Airtel Money

    Mnaojua hili Kwa wateja wapya wa line za simu kusajiliwa kielectronic... Pia vodacom Wana simu za kielectronic... Mi siwaelewi Hawa jamaa... Tupeni elimu Mnaojua program zipi zinatumika kwa hiz smart phone
  7. nani mbuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njia panda

    Naingia moja kwa zote kwenye mada. Nina wasichana wawili mmoja ana kipato namaanisha kazi, msichana wa pili yuko kijijini mkulima, niko kwenye wakati mgumu nahutaji kuoa kati yao. Na mimi sina kazi naunga unga tu kimjini siku zinaenda.Sasa basi huwa napata msaada wa kifedha kwa huyu msichana...
  8. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Mimi nazitengeneza nipe namba yako tufanye mbishe 0767151836 ninazo
  9. nani mbuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa files kwenye HDD kama imepiga shoti

    Upo wapi
  10. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Watoto wa wenye nyumba VS Wapangaji

    Mtaoa mada hapa ana matatizo ya kisaikolojia... labda nimuulize bei ya cement .....pili anunue kiwanja aanze kazi... tatu... siku zote mpangaji huna haki... mwenye nyumba ni mali yake kwa hiyo anayo haki ya kuandaa mkataba yani makubaliano na mpangaj.. ukiona ni magumu sepa au kajenge yako....
  11. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

    Huuu Mtego hiii isue nimeinusa... yani mleta mada anapima iQ za watu.... anaedit kichwa habari... bado naendelea kunusa... tabia mtu huliflect kwenye kipaji cha uso wake... nimeona
  12. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam, fuatilieni kituo kidogo cha polisi Kibada

    Kibada polisi mgambo raia..... jana nilipita... nilikuwa nauza..cm... nadhibitisha.. ukibisha nakupa namber zao.. picha sauti zao wanavyokula rushwa
  13. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Uko wapi kwa sasa ..?
  14. nani mbuzi

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Mmmmmmmh humu kuna ma-carlos.... ma osama.... mi nasepa... ila haya majamaa ni maelewa sana ila mi naogopa mengne yanamajina yA madawa.... sijui morphine.... polonium... lingne linajiita.... dengue.... harafu kwinin.... mi siji tena hapa.....
Back
Top Bottom