Recent content by Nangero

  1. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    dah pole sana ukwel kamali ni mbaya mimi mwenyewe ni muhanga wa kamali uliyoptia wew ni sawa na mimi tu ila mungu mkubwa sasa nimeacha kabisa na nimesahau kabsa naendelea na maisha yangu ila pole sana ndugu yangu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Free Tanzania - Maandamano 7/7

    Nitafurahi sana tukijikomboaa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nangero, mimi ni mgeni naomba mnipokee

    Asante sana ndugu zangu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nangero, mimi ni mgeni naomba mnipokee

    Shukrani ndugu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nangero, mimi ni mgeni naomba mnipokee

    asante na nashukuru kwa mapokezi
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nangero, mimi ni mgeni naomba mnipokee

    Umri wangu ni miaka 27 ni kijana mpole tu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    muda mwingine mtu haupendi ila wanawake wanamajaribu sana mungu akusaidie
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nangero, mimi ni mgeni naomba mnipokee

    Shikamoo wakubwa pole na majukumu na mihangaiko mimi ni mgeni naomb mnipokee . Shukrani nyingi ziende kwa mwanzilishi wa JamiiForums kutokana na kuazisha jukwaa hili kupitia jukwaa hili nimejifunza mambo mengi mazuri pia shukrani kwa kaka Mshana jr kwa kutoa elimu mbalimbal kifupi nimejifunza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania ONYO KALI: Sitishwi na Mashoga Wala Vitisho vyao PM, Nimejipanga Kuwashughulikia

    binafsi nawachukia sana hao mashoga tena nawachukia sana
Back
Top Bottom